Mtangazaji Ivona Kamuntu

Unaangalia habari au magauni ya watu
 
Ukimaliza kuchunfuza Azam TV hamia ukachunguze na TBC kuna dada mmoja kila siku habadilishi wigi, kila siku anavaa hilo hilo tu ni mwaka wa kumi sasa...
 
Labda anazo nyingi za aina hiyo kama yule mmiliki wa Facebook anayevaa T-shirt ya kijivu na jins ya blue.
 
Huyu binti mi namtaka, kama yupo humu ani pm tufanye yetu
 
Nilianza kumpenda punde baada ya kuhamia Azam TV.

Alivyokua star tv nilikua sitaki hata kumuona.

ADRIAN Steff huyu binti amenipata baada ya kuhamia mjengoni Azam TV.
 
Anayo mengi sema ni aina moja..

Ila tuache utani Ivona kama m cute alivyohamia azam TV Dar ni Dar jamani.

Wakati yupo starTv mie nilikuwa naona kama ana umri wa kustafu.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ivona hana makuu.Anapenda maisha ya kawaida.Kuonekana kwenye tv kila siku hakujampa mchecheto wa kuvaa nguo mpya kila siku.Anachukulia kawaida..kinyume na tabia za vidada vingi vinavyopenda maisha ya kuigiza.
 
Wewe Escort 1,Acha ushilawadu,
mdada, amependeza na anatangaza vizuri sana.
Pia, kitenghe ni vazi la heshima kwa Africa.

Kamuntu , vaaa ilo hilo unapendeza Sana.
Tuma salamu kwa watu watatu
 
Mleta Uzi wewe ni mpuuzi kweli,
Labda nikukumbushe tu kuna watu wanashona nguo ya rangi moja,mtindo mmoja kwa wingi kadiri apendavyo.
Mfano jirani yangu utazitambua siku anafua .
Mbona povu limezidi dada?
 
Acha kuharibu uzi wangu, fungua wakwako.

Wahed mkubwa!
 
mtoa huzi ww ni kilaza kama vilaza wengine, binti anavaa nguo za heshima ww unamtukana ulishazoea wengine wanao vaa nusu uchi km utaki hama kingamuzi.
 
Natamani ningekuwa na uwezo ya kuwaambia wamiliki na wasimamizi wa JF kuweka kumbi za watoto ili tuchague cha kusoma na mahali pa kusoma.Gauni la Ivona Kamuntu linakufanya uwe na cha kuandika na Jamii Forum wanaona huo ni uhuru wa habari
Umefata nini kwenye uzi wa kitoto kama ulivyodai?

Wahed ni wahed tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…