Waukae mimi ni digital content creator hivyo hii ni kama sehemu ya kazi yangu.Kujadiliwa wasafi ndio kuwa brand, hebu acha mahaba yasiyo na faida kwako
Zuzu huyo, nakumbuka sana hiyo issue hadi nikamwekea misemo ya JonijooUlimdhihaki jonijo Mara ukaanza kusema bango kubwa sijui linawaka Moto me nikakuambia jonijo na Aliyah ndio walitakiwa wabaki block 89 wewe ukapinga au mzee unazani technology inadaganya? Chochote kinachohusu Wasafi kizuri lazima upinge sijui wasafi walikukosea Nini? Kwa umri ulionao na mambo inayofanya humu jamiiforum hata ufanani mzee
Huna huu uwezo nimeenda shule kusoma Radio programming na sasa niko na Computer engineering.Nakupeleka shule leo.
Kazi ya presenter inahusiana na personality ya muhusika, kama personality yako ni ya kipuuzi kama Mtu Imara utakosa kazi na kuishia kufungua youtube channel na you will never be a brand ever.
Tusichoshane wewe ni zero kwenye hii issue.Hao wote uliowataja ni "personality" zao ndiyo zimetengeneza brand na wakawa wao kama wao.
Hili sina shida nalo mimi.Hebu futa makamasi na kubali tu biashara ni ushindani leo Jonijo kapata dau nono kasepa Efm kama ambavyo Ommy alivyotoka times na kwenda wasafi kufata dau nono.
Mtu imara = Digital content creator.Kama radio inatengeneza brand, Je Mtu imara ni brand? Je Mtu Imara ni brand iliyotengenezwa na wasafi radio???
Personality = Brand
Msingi nimesoma: Famigesheni primaryHahaha mkuu sijui umesoma shule gani kwamba umaarufu wa mtu(mfanyakazi)unazidi umaarufu wa kampuni duuh?
Huna huu uwezo nimeenda shule kusoma Radio programming na sasa niko na Computer engineering.
Hii ni mara ya pili unaleta dharau kwa mtu imara nilikwambia Mtu imara ni content creator vipindi vingi pale Wasafi na ideas zinatoka kwake yule jamaa angu ni genius when it comes to creativity nimefanya nae kazi sehemu.
Siwezi kupoteza muda wangu kuanza kukupa hili darasa maana najua kilichopo kichwani mwako.
Tusichoshane wewe ni zero kwenye hii issue.
Personality ya Millard Ayo iliyomtoa IPP na kumpeleka CMG ni ipi?
Hili sina shida nalo mimi.
Mtu imara = Digital content creator.
Mtu imara = Creative genius.
Mtu imara = Actor (watu wa DSTV wanamjua wewe na maazam yako angalia tamthilia za kidada)
Mtu imara = Rommy Jones idea.
Mtu imara = Joker.
Mtu imara = IT Specialist.
Weweee buza kama buza.
Alipaswa kuwalea na kujenga "watu wake" wataoifanya Wasafi kama radio yao. Hao akina Lilommy wameshaji brand na huwezi kuweka vitu vipya na tofauti kwao.Kati ya Kosa ambalo Diamond ataendelea kulijutia ni Kuua block 88.9 ! Diamond tangu ameua block 88.9 bado inaonesha wazi The Switch haijaleta chochote kipya! Diamond alikosa washauri
Sent from my iPhone using Tapatalk
Eminent.haya tushakusikia kilichobaki muwe mnawalipa mishahara wafanyakazi wenu wa wasafi wengi wanalalamika huku mtaani wengine mpaka kauli wanakosa bye
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemuacha Dozen hapo mkuuKuna watangazaji Tanzania hii hawahitaji ukubwa wa channel kufuatiliwa, popote wakiwepo wanahama na kijiji chao, wafuatao ni baadhi ya watangazaji hao:
1. Salama Jabir
2. Captain G Habash
3. Maulidi Kitenge
4. Jonijo Babako
5. Millard Ayo
Ukiwa ndio boss wa hawa watangazaji, wachukulie kama maboss wenzako, sio wafanyakazi wako.
Yule dogo ni kichwa na usishangae Clouds wakajakumchomoa na kumtengeneza.Huna huu uwezo nimeenda shule kusoma Radio programming na sasa niko na Computer engineering.
Hii ni mara ya pili unaleta dharau kwa mtu imara nilikwambia Mtu imara ni content creator vipindi vingi pale Wasafi na ideas zinatoka kwake yule jamaa angu ni genius when it comes to creativity nimefanya nae kazi sehemu.
Siwezi kupoteza muda wangu kuanza kukupa hili darasa maana najua kilichopo kichwani mwako.
Tusichoshane wewe ni zero kwenye hii issue.
Personality ya Millard Ayo iliyomtoa IPP na kumpeleka CMG ni ipi?
Hili sina shida nalo mimi.
Mtu imara = Digital content creator.
Mtu imara = Creative genius.
Mtu imara = Actor (watu wa DSTV wanamjua wewe na maazam yako angalia tamthilia za kidada)
Mtu imara = Rommy Jones idea.
Mtu imara = Joker.
Mtu imara = IT Specialist.
Weweee buza kama buza.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Et jonijoo katoka kufanya kazi kwenye fly Emirates kaenda kwenye air Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani sikuamini kama ana uwezo ule kabisa kumbe ni Albert Einstein mwingineYule dogo ni kichwa na usishangae Clouds wakajakumchomoa na kumtengeneza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo bango limewaka moto ndiyo maana kipindi kimefutwa.Ulimdhihaki jonijo Mara ukaanza kusema bango kubwa sijui linawaka Moto me nikakuambia jonijo na Aliyah ndio walitakiwa wabaki block 89 wewe ukapinga au mzee unazani technology inadaganya? Chochote kinachohusu Wasafi kizuri lazima upinge sijui wasafi walikukosea Nini? Kwa umri ulionao na mambo inayofanya humu jamiiforum hata ufanani mzee
🤣🤣🤣🤣 mtu imara umepanic mnoo ila ndiyo hivyoo Bango limeisha Luku.Huna huu uwezo nimeenda shule kusoma Radio programming na sasa niko na Computer engineering.
Hii ni mara ya pili unaleta dharau kwa mtu imara nilikwambia Mtu imara ni content creator vipindi vingi pale Wasafi na ideas zinatoka kwake yule jamaa angu ni genius when it comes to creativity nimefanya nae kazi sehemu.
Siwezi kupoteza muda wangu kuanza kukupa hili darasa maana najua kilichopo kichwani mwako.
Tusichoshane wewe ni zero kwenye hii issue.
Personality ya Millard Ayo iliyomtoa IPP na kumpeleka CMG ni ipi?
Hili sina shida nalo mimi.
Mtu imara = Digital content creator.
Mtu imara = Creative genius.
Mtu imara = Actor (watu wa DSTV wanamjua wewe na maazam yako angalia tamthilia za kidada)
Mtu imara = Rommy Jones idea.
Mtu imara = Joker.
Mtu imara = IT Specialist.
Weweee buza kama buza.
Mimi binafsi kile kipindi nilikuwa sikielewi nilikuwa nawaona kama noise makers, na naendelea kuamini hivyo hadi sasa. Ingawa still nawakubali Aliya na Jonijo kama watangazaji wazuriIla wabongo tuache roho mbaya kabla ya Jonijoo kusepa nyuzi nyingi humu zilikuwa zinaponda kipindi cha block 89 wakidai ni kama genge la kihuni mara ooh wapiga makelele. Leo hii mtaalam kasepa wanadai kilikuwa kuwa kipindi bora sana hakikutakiwa kufutwa[emoji2].
Nimejifunza: Hawa ndio watanzania ukitaka kufanya jambo lako fanya tu usiangalia wanasema nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chapa the ting sasa🤣🤣🤣🤣 mtu imara umepanic mnoo ila ndiyo hivyoo Bango limeisha Luku.
Jonijo - E.fmShamim Mlacha mke wake Lil Ommy ndani ya TBC-CCM.
Henry Mabumo ndani ya TBC-CCM.
IPP kulikoniii?
We mdingi Ni wa ajabu Sana unachuki na mtu ambaye hata kuonana nae kwa ujawahi hiv nikuulize kipi kizuri kilichofanywa na diamond umawahi kutoa comment nzuri?Ndiyo bango limewaka moto ndiyo maana kipindi kimefutwa.
Usiamishe magoli mzee, combination ya block 89 imefail wameunguza bango.
Hebu vumilia bana haya maswala ya watu kuhama vituo vya radio yapo na yataendelea kuwepo.
NB: mashabiki muwe wakweli watu mnaowapenda wakiwa wanachemka acha kulia-lia Diamond mwenyewe amechukulia ni changamoto atapambana vitapatikana vipindi bora.
🤣🤣🤣ila poolee aisee hii imekuuma mno.
Wasafi ilianza vizuri lakini inaharibiwa na usajili..tengeneza base nzuri kwa kuwatumia wakongwe...radio ina shikwa na vipindi vikuu vitatu...Taarifa ya habari...Michezo..then Vipindi vya burudani...wanachokosea wasafi kwanza sina uhakika kama wanae program manager mwenye anayefit nafasi hiyo..kama yupo basi anakosa ubunifu..ukishapata wakongwe watatu kwenye vipindi mhimili hivyo vitatu...then tafuta vipaji vipya ....lipo tatizo jingine lq media za bongo kuigana kwa kila kitu..huwa tunaigana timing ya muda wa vipindi ili kugombania wasikilizaji au watazamaji lakini watangazaji wengi wanaiga mpaka contents za redio au tv shindan mwisho wa siku vipindi vinapyaya vinakosa mvuto..unakuta mtangazaji anataka kuiga mpaka sauti ya mtangazaji wa redio shindani au tv ni ujinga..ubunifu ndo silaha kubwaHakika nitaendelea kutoa Lawama zangu kwa Diamond kuacha Jonijo aondoke aisee hii ni hasara kabisa! Hivi kweli Diamond na uwekezaji wote ule amemuacha jonijo kaondoka kweli kabisa Jamani?
Nafikiri Diamond alifanya kosa sana kuua kile kipindi cha block 88.9 aiseee nitashagaa na Calypso akiondoka!
Kwenye hili Diamond kapata hasara maana media yake bado changa aiseee
Naendelea kusema wazi Diamond alikosea sana kuua block 88.9
Sent from my iPhone using Tapatalk