Latrice
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 2,389
- 2,366
Identiy haiwezi kubadilika.Identity yake ndo kufanya kipindi cha aina moja throughout, kwenye redio tatu tofauti?
As a digital content creator by now you should know creativity siyo kubadilisha maneno Mara Sijui bango blah blah ni kuleta a new thing on the table na watu wakafurahi. Refer to Salama Jabir. From PB, Mkasi to Ngaz kwa Ngaz yes Vyote ni Entertainment lakini amecheza miguu tofauti.
Inawezekana hukunielewa mwanzo but that's what I meant. Akienda Efm alaf akakuta kipindi kama alichokuwa anafanya Wasafi kipo, alafu akakiendeleza without changing Anything kuvutia watu in the name of identity huo ni utopolo.
Alafu nyie mnaojiita content creators wabongo mna kazi gani?
Huwezi kumchukua Ronaldo ukamchezeshe beki Never ever!
Au Gabriel Zakaria umemtoa RFA anatangaza habari umpeleke TBC akatangaze Zinazokiki.
Salama ni Rude girl toka mwanzo na ndio identity yake