Mtangazaji Jonijoo atoka Wasafi FM/TV na kuhamia ETV/EFM

6.Dozen
7.Sam Misago kwa mtazamo wangu!
 
Kama wakihama kwenda media nyingine maboss wao wawe makini pia....kwani nimekwambia wamewahi kuhama!
Wapo watangazaji ambao walikuwa wanavuma kwenye vituo vyao vya mwanzo, walipoamua kuhama wakafutika kwenye ramani. So kuhama na kuendelea kuhit ni mojawapo ya kigezo muhimu kuwa huyo mtangazaji ni potential habebwi na media.
 
Yametimia mzee Mwamba kasepa.... Wacha tuendelee na wakina perfect!
 
Wewe hujui kitu,Salehe Jabir a.k.a kuvichaka ni bonge la redio presenter hapa nchini
huyo salehe jabir hamna kitu kapooza sana hajawahi kuwa bora..hafai kutangaza kipindi cha bongo flavour
 
Wewe hujui kitu,Salehe Jabir a.k.a kuvichaka ni bonge la redio presenter hapa nchini
hamna wa hovyo tu.. mnampaga sifa asizo stahiki.. hamna kitu mule
sipingi kwamba anajua sana kuhusu history ya muziki.. but kujuahistory na utangazaji ni mambo mawili tofauti
 
hamna wa hovyo tu.. mnampaga sifa asizo stahiki.. hamna kitu mule
sipingi kwamba anajua sana kuhusu history ya muziki.. but kujuahistory na utangazaji ni mambo mawili tofauti
Watangazaji bora wakitajwa lazima awemo kwenye list
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…