hitler2006
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 489
- 454
Ni sawa kuwa na mtazamo tofauti lakini huyu dada wa kipindi cha nyuzi 360 huwa anapenda sana kutetea viongozi hasa pale wanapokua wametoa matamshi tatanishi.
Hata kama ni uchawa huu sasa utakua pro max kwa dada.
Nadhani kipindi hiki hakimfai ni bora atafutiwe kipindi cha udaku au singeli.
Pia soma: Kwani kuna Cheo chochote kile Mtangazaji Babie Kabae anakitaka ndani ya Serikali ya Rais Samia?