Mtangazaji Kijah wa radio ya Clouds anasukuma agenda ya nani?

Mtangazaji Kijah wa radio ya Clouds anasukuma agenda ya nani?

Ndiyo nani huyo tuwekee picha yake

Ova
 
Tupia kapicha tuone sura yake maana sikumbuki kutazama hiyo TV mara ya mwisho ilikuwa lini.
 
Kuna jamaa alikuwa hapo mawingu nae karamba UDC, nae alikuwa hivyo hivyo, pengine kamtonya njia ya kupita nae akajipakulie minyama...
 
Ni sawa kuwa na mtazamo tofauti lakini huyu dada wa kipindi cha nyuzi 360.

Huwa anapenda sana kutetea viongozi hasa pale wanapokua wametoa matamshi tatanishi.

Hata kama ni uchawa huu sasa utakua pro max kwa dada.

Nadhani kipindi hiki hakimfai ni bora atafutiwe kipindi cha udaku au singeli.
Mkuu
Hali ni tete sana Hangaya camp. Chochote kinaokotezwa kusaidia move
 
Huyu nilisoma nae chuo cha uandishi wa habari na utangazaji pale Royal Urafiki Dar.
Alitokea kwao Lindi kuja dar kusoma.
Alipofika dar akaanza za huku wakaachana na mumewe aliye zaa nae.
Hizi mambo huyu hajaanza leo.
Anapenda mambo ya kutawala ila ndo hivyo tena tatizo nyota labda
Mja haachi asili.
 
Ni sawa kuwa na mtazamo tofauti lakini huyu dada wa kipindi cha nyuzi 360.

Huwa anapenda sana kutetea viongozi hasa pale wanapokua wametoa matamshi tatanishi.

Hata kama ni uchawa huu sasa utakua pro max kwa dada.

Nadhani kipindi hiki hakimfai ni bora atafutiwe kipindi cha udaku au singeli.
ukimtazama tu usoni tu hatahamu ya kuangalia kipindi unakosa.
 
Back
Top Bottom