Mtangazaji Kijah wa radio ya Clouds anasukuma agenda ya nani?

Ndiyo nani huyo tuwekee picha yake

Ova
 
Tupia kapicha tuone sura yake maana sikumbuki kutazama hiyo TV mara ya mwisho ilikuwa lini.
 
Kuna jamaa alikuwa hapo mawingu nae karamba UDC, nae alikuwa hivyo hivyo, pengine kamtonya njia ya kupita nae akajipakulie minyama...
 
Mkuu
Hali ni tete sana Hangaya camp. Chochote kinaokotezwa kusaidia move
 
Huyu nilisoma nae chuo cha uandishi wa habari na utangazaji pale Royal Urafiki Dar.
Alitokea kwao Lindi kuja dar kusoma.
Alipofika dar akaanza za huku wakaachana na mumewe aliye zaa nae.
Hizi mambo huyu hajaanza leo.
Anapenda mambo ya kutawala ila ndo hivyo tena tatizo nyota labda
Mja haachi asili.
 
ukimtazama tu usoni tu hatahamu ya kuangalia kipindi unakosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…