Mtangazaji kupanga nyumba ya laki 5 kwa mwezi??

Muda ulioutumia kutafakari na hadi kuuandika na kuuweka huo uzi hapa, ungeutumia vizuri kuwaza namna ya kujiongezea kipato ili nawe ulipe kodi ya laki tano ingekuwa bora zaidi
 
Hivi wewe unategemea mshahara tu?? Au unategemea TZ ya leo watu wanategemea mshahara tu??
 
Ndio pa kushare hizo bizness zao maana kama umc au kuuza nguo sidhani kama wanaweza kufanya hayo yote.
 
Ndio pa kushare hizo bizness zao maana kama umc au kuuza nguo sidhani kama wanaweza kufanya hayo yote.
Kwahio kuuza nguo hakuwezi kukufanya ukae nyumba ya 500,000-1,000,000?? Mkuu u need a little exposure, kuna watu wanauza nguo wana pesa chafu nishasema humu tafuteni muda mjifunze sio ku underestimate biashara za watu. Kama unataka kujua biashara fulani tenga muda kaa na mtu anaefanya hio biashara ili ujifunze na kuona kama lisemwalo lipo.

Hii thread yako una msg unataka kuifikisha ila unatumia comments za watu kufika huko ila sidhani kama wewe hujui kwamba hao vijana ni wahangaikaji na wana issues zao ndogo ndogo za kuwaongezea kipato.
 
Duh huyo anaelipwa laki 8 halaf akapange kodi laki 5 basi atakua mwehu.
 
Ndiyo maana wanavaa kijani kwenye kampeni kufidia
 
Watu wanajiongeza wewe. Mtu ni mtangazaji lakini bado ana deal zake za pembeni kibao. Halafu punguza mambo ya kufuatilia ishu za watu.
Usipofatilia ishu za watu huwezi kuendelea.. hata mataifa yaliyoendelea huwa yanafatilia sana nchi zingine zinafanya nn na kuiga pia. Hizo ndio njia za kuendelea na ugunduzi wa mambo mbalimbali
 
Bila shaka unawaongelea watangazaji mademu right?!
 
Unamuonea wivu maulid wa kitenge acha hizo Fanya yako hapa mjin kila MTU anajua TRA yake
 
Mkuu Utangazaji ndo comfort zone yao..Na hiyo kazi inawafanya kuinteract na watu mbalimbali kitu kinachowasaidia kupata baadhi ya fursa na kuzitumia vizuri...

N.B.. Umaarufu ukiutumia vizuri ni asset..
 
watangazaji wa clouds ni mishen town wengi wanashughuli nyingine mtu kama kibonde ni mc pia,alikuwapo kipanya ni mchoraji n.k lakini usisikilize wote kuna wengine ni apeche alolo kazi yao kupiga domo pale akina musa hussein, adam mchomvu, B12, akina likuda ndo kabisaaaaaa jamaa mnyanyasaji sana yule anamnyanyasa mkewe kama nini kila siku kesi haziishi lakini ukimsikia anavyobana pua pale utasema mtu ndiye huyu
 
Usipofatilia ishu za watu huwezi kuendelea.. hata mataifa yaliyoendelea huwa yanafatilia sana nchi zingine zinafanya nn na kuiga pia. Hizo ndio njia za kuendelea na ugunduzi wa mambo mbalimbali
Sio kufuatilia kwa design hii ya kuja kuleta porojo JF.....
 
Mshahara pekeake
Huwez kukidhi mahitaji
So lazma ujiongeze
 
huu umbea umevuka mipaka,wengine wanafanya kazi ya utangazaji kama hobby tu wana issue zao nyingine, kama mademu wana sponsors na kama wanaume wana mabasha wanawaweka mjini,co kila mafanikio yanakuja kwa njia ya madawa
 
makonda kashafungua njia tena bas kila mtu atapekuliwa
na wewe mtoa hoja "sio ya msingi sana" ulikuwa unaelekea kusema wanatakua wanauza ngada!
sijui kama Tz ya viwanda itakuja kwa msengenyo huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…