Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wewe unategemea mshahara tu?? Au unategemea TZ ya leo watu wanategemea mshahara tu??Umofia Kwenu wana JF,
Lengo la kuuliza hili swali ni kutaka kujua hii fani kama inalipa siku hizi au kuna vitu behind the scene vinafanywa na hao watangazaji?
Wakuu nimeona watangazaji wengi wa hizi redio zetu za bongo wanakaa mbezi beach,mikocheni au prime areas wakilipia mijengo hadi 1m per month..Nakumbuka iliwahi kusemwa humu kwamba clouds ndio wanalipa vizuri ambapo huwa mtangazaji analipwa hadi kilo 6 kwa mwezi wengine hadi 8.
Sasa tuchukulie mtangazaji analipwa laki 8 hapo hapo anapanga kodi laki 5 kwa mwezi,watangazaji wengi wanadrive haya kila siku buku 10 ya wese,kwa mshahara huo mbona naona kama unakwisha kwenye kodi tu?
Hivi utangazaji unalipa sana siku hizi? Kuna mtangazaji m1 wa michezo amepanga oysterbay na kila week anaenda uingereza kutalii na sijawahi kumuona hata siku moja amepata kazi ya u-mc maana wengi mtasema other source ya income yao ni U-mc.
Utangazaji unalipa sana siku hizi?
Muda ulioutumia kutafakari na hadi kuuandika na kuuweka huo uzi hapa, ungeutumia vizuri kuwaza namna ya kujiongezea kipato ili nawe ulipe kodi ya laki tano ingekuwa bora zaidi
Ndio pa kushare hizo bizness zao maana kama umc au kuuza nguo sidhani kama wanaweza kufanya hayo yote.Hivi wewe unategemea mshahara tu?? Au unategemea TZ ya leo watu wanategemea mshahara tu??
Kwahio kuuza nguo hakuwezi kukufanya ukae nyumba ya 500,000-1,000,000?? Mkuu u need a little exposure, kuna watu wanauza nguo wana pesa chafu nishasema humu tafuteni muda mjifunze sio ku underestimate biashara za watu. Kama unataka kujua biashara fulani tenga muda kaa na mtu anaefanya hio biashara ili ujifunze na kuona kama lisemwalo lipo.Ndio pa kushare hizo bizness zao maana kama umc au kuuza nguo sidhani kama wanaweza kufanya hayo yote.
Duuh we noma mkuuNdo mana wale jamaa wengi wameolewa mjini hapa wanajifanya wajanja kama mkasi 'mbele wanakata nyuma wanapachikwa vidole viwili'
Usipofatilia ishu za watu huwezi kuendelea.. hata mataifa yaliyoendelea huwa yanafatilia sana nchi zingine zinafanya nn na kuiga pia. Hizo ndio njia za kuendelea na ugunduzi wa mambo mbalimbaliWatu wanajiongeza wewe. Mtu ni mtangazaji lakini bado ana deal zake za pembeni kibao. Halafu punguza mambo ya kufuatilia ishu za watu.
Unamuonea wivu maulid wa kitenge acha hizo Fanya yako hapa mjin kila MTU anajua TRA yakeUmofia Kwenu wana JF,
Lengo la kuuliza hili swali ni kutaka kujua hii fani kama inalipa siku hizi au kuna vitu behind the scene vinafanywa na hao watangazaji?
Wakuu nimeona watangazaji wengi wa hizi redio zetu za bongo wanakaa mbezi beach,mikocheni au prime areas wakilipia mijengo hadi 1m per month..Nakumbuka iliwahi kusemwa humu kwamba clouds ndio wanalipa vizuri ambapo huwa mtangazaji analipwa hadi kilo 6 kwa mwezi wengine hadi 8.
Sasa tuchukulie mtangazaji analipwa laki 8 hapo hapo anapanga kodi laki 5 kwa mwezi,watangazaji wengi wanadrive haya kila siku buku 10 ya wese,kwa mshahara huo mbona naona kama unakwisha kwenye kodi tu?
Hivi utangazaji unalipa sana siku hizi? Kuna mtangazaji m1 wa michezo amepanga oysterbay na kila week anaenda uingereza kutalii na sijawahi kumuona hata siku moja amepata kazi ya u-mc maana wengi mtasema other source ya income yao ni U-mc.
Utangazaji unalipa sana siku hizi?
Mkuu Utangazaji ndo comfort zone yao..Na hiyo kazi inawafanya kuinteract na watu mbalimbali kitu kinachowasaidia kupata baadhi ya fursa na kuzitumia vizuri...Du kama source za nje za income ni nyingi mbona hawaachi kama DJ Fetty ili wajikite zaidi kwenye biashara? Maana biashara zao ni Boutique,matamasha,MC etc still kuna ma MC nawajua wanapata deal nyingi ila sio watangazaji so wanaweza wakaacha na wakaendeleza uMC.
watangazaji wa clouds ni mishen town wengi wanashughuli nyingine mtu kama kibonde ni mc pia,alikuwapo kipanya ni mchoraji n.k lakini usisikilize wote kuna wengine ni apeche alolo kazi yao kupiga domo pale akina musa hussein, adam mchomvu, B12, akina likuda ndo kabisaaaaaa jamaa mnyanyasaji sana yule anamnyanyasa mkewe kama nini kila siku kesi haziishi lakini ukimsikia anavyobana pua pale utasema mtu ndiye huyuUmofia Kwenu wana JF,
Lengo la kuuliza hili swali ni kutaka kujua hii fani kama inalipa siku hizi au kuna vitu behind the scene vinafanywa na hao watangazaji?
Wakuu nimeona watangazaji wengi wa hizi redio zetu za bongo wanakaa mbezi beach,mikocheni au prime areas wakilipia mijengo hadi 1m per month..Nakumbuka iliwahi kusemwa humu kwamba clouds ndio wanalipa vizuri ambapo huwa mtangazaji analipwa hadi kilo 6 kwa mwezi wengine hadi 8.
Sasa tuchukulie mtangazaji analipwa laki 8 hapo hapo anapanga kodi laki 5 kwa mwezi,watangazaji wengi wanadrive haya kila siku buku 10 ya wese,kwa mshahara huo mbona naona kama unakwisha kwenye kodi tu?
Hivi utangazaji unalipa sana siku hizi? Kuna mtangazaji m1 wa michezo amepanga oysterbay na kila week anaenda uingereza kutalii na sijawahi kumuona hata siku moja amepata kazi ya u-mc maana wengi mtasema other source ya income yao ni U-mc.
Utangazaji unalipa sana siku hizi?
Sio kufuatilia kwa design hii ya kuja kuleta porojo JF.....Usipofatilia ishu za watu huwezi kuendelea.. hata mataifa yaliyoendelea huwa yanafatilia sana nchi zingine zinafanya nn na kuiga pia. Hizo ndio njia za kuendelea na ugunduzi wa mambo mbalimbali
UmeonaeeeUnapochunguza ya watu ,utachelewa kufanya yako....
Ya ngoswe aachiwe ngoswe....
huu umbea umevuka mipaka,wengine wanafanya kazi ya utangazaji kama hobby tu wana issue zao nyingine, kama mademu wana sponsors na kama wanaume wana mabasha wanawaweka mjini,co kila mafanikio yanakuja kwa njia ya madawaUmofia Kwenu wana JF,