Mtangazaji kupanga nyumba ya laki 5 kwa mwezi??

Unapochunguza ya watu ,utachelewa kufanya yako....

Ya ngoswe aachiwe ngoswe....
Mzee mwenzangu kitambo! kwema? udaku na vitu visivyo na kichwa wala miguu imekuwa ndio mtindo sasa mpaka pana shirika la mambo ambayo ilikuwa tabu sana kujinasibisha nalo leo watu wanaishi kupitia shirika hilo tena marijali kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…