Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee mwenzangu kitambo! kwema? udaku na vitu visivyo na kichwa wala miguu imekuwa ndio mtindo sasa mpaka pana shirika la mambo ambayo ilikuwa tabu sana kujinasibisha nalo leo watu wanaishi kupitia shirika hilo tena marijali kabisa.Unapochunguza ya watu ,utachelewa kufanya yako....
Ya ngoswe aachiwe ngoswe....
Teh teh teh huu utakuwa uchokozi sasa kwa wenyeweSio watangazaji wa Moshi FM
Wapo tu na maisha yao magumu kupiga mizinga kama traffic