Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania kila mtu mwizi tunatofautiana viwango na mbinu tuumambo ya ndani sana hayo.
Mkuu dj fetty kaacha au kaachishwa na yule mzungu aache mwenyewe kwa njaa hii ya bongo si shida hiyo mkuuDu kama source za nje za income ni nyingi mbona hawaachi kama DJ Fetty ili wajikite zaidi kwenye biashara? Maana biashara zao ni Boutique,matamasha,MC etc still kuna ma MC nawajua wanapata deal nyingi ila sio watangazaji so wanaweza wakaacha na wakaendeleza uMC.
Unahitaji Dr wa saikolojia akufanyie kanselingi,hili ni jukwaa la selebritizi huku ni gosipu kwenda mbele kama vipi nenda jukwaa la uchumi ukajifunze kufuga kuku na samaki.Mwanaume kufatiria kipato cha mtu mwingine sio kawaida... you have to grow your balls up!!!
Mwanaume unajivunia gossip....Unahitaji Dr wa saikolojia akufanyie kanselingi,hili ni jukwaa la selebritizi huku ni gosipu kwenda mbele kama vipi nenda jukwaa la uchumi ukajifunze kufuga kuku na samaki.
"Fact' mfano bdozen wa clouds anaduka languo, na pia anatumika sana kwenye_matangazo.
Madawa ya kulevya yanalipa sana kama huamini muulize ruge na rizi1
Si tunasikia watangaziji wengi sio "rizki",....
Unahitaji Dr wa saikolojia akufanyie kanselingi,hili ni jukwaa la selebritizi huku ni gosipu kwenda mbele kama vipi nenda jukwaa la uchumi ukajifunze kufuga kuku na samaki.