Mtangazaji maarufu na kipenzi Cloudstv360 Babie Kabae amtaka Rais JPM ajifunze ‘ Kula Bata ‘ na aache kwenda sana Kijijini Chato

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mtangazaji ‘ Kipenzi ‘ cha wengi Cloudstv360 Babie Kabae katika hali isiyokuwa ya kawaida leo asubuhi aliweza kutoa ‘ dukuduku ‘ lake moyoni kwa kumshauri Rais JPM ajitahidi awe anatenga muda kidogo wa Kula Bata / Kujiachia ili asiwe mwenye mawazo mengi na aache kila mara kupenda tu kwenda Kupumzika Kijijini Kwake.

Hii imekuja baada ya Mtangazaji huyo pamoja na wenzake wawili Hassan Ngoma na Samuel Sasali walipokuwa wakijadili ‘ Kauli ‘ ya Rais JPM aliposema kuwa anashangaa ni jinsi gani Watangulizi wake Marais Wastaafu Mkapa na Kikwete waliweza Kuiongoza Tanzania bila ya hata Wao Kuchoka na mpaka leo bado wanaonekana wako ‘ fit ‘ huku Yeye ndiyo Kwanza tu akiwa na miaka mitatu Madarakani lakini anaona ‘ Maluweluwe ‘ na Kuchoka kutokana na ‘ changamoto ‘ ambazo anazipata.

Kiukweli nipo tayari hata kumuandalia Rais JPM schedule yake ya Christmas pamoja na Mkewe Mama Janet ili waende tu Kupumzika Mbugani au Zanzibar huku wakiwa wamejiachia kabisa na asifanye Kazi yoyote ya Kiserikali ili atulize akili zake kuliko ambavyo hivi sasa pamoja na changamoto zake bado tu anazizidisha tena kwa kwenda Kijijini Chato ambako nako huko tena hupata changamoto zingine hatimaye anajikuta anaona Urais ni kama mzigo Kwake “ alisema Babie Kabae.

Wakati Mtangazaji huyo akiongea hivyo Wenzake akina Hassan Ngoma na Samuel Sasali wao ‘ walichagiza ‘ zaidi katika hali ya ‘ Utani ‘ kama kawaida yao kwa kusema kwamba akina Mkapa na Kikwete hawakuona ‘ Urais ‘ changamoto Kwao kwakuwa Wao muda mwingi walikuwa wakisafiri Ulaya na Marekani ambapo wakirudi Tanzania basi akili zao huwa zimebadilika kidogo kuliko Yeye JPM ambaye kama akisafiri sana basi ni ama Kampala au Kigali ila sana sana Kijijini Kwake huko Chato Mkoani Geita.

Je unadhani Mtangazaji huyu yuko sahihi au hayuko sahihi kiasi gani kwa hii ‘ Kauli ‘ yake dhidi ya Rais JPM?

Nawasilisha.
 
NI KIPINDI CHAKUSIFIA UOZO.TUNAKIJUA.NI WAKATI WA KUONGELEA UCHUMI WA WATU,DEMOKRASIA YA WATU,MAENDELEO YA WATU,UHURU WA KUONGEA NA KUTOA MAONI.SIO MNAKAA NA KUANZA KUJIPENDEKEZA.ETI ALE BATA.SHAME UPON YOUR FACE.UNATAKIWA UTUBU KWA KUSIFIA UPUMBAVU.
 
Muachene mzee wa watu kuongoza hiki kizazi cha instagram ni kazi kwelikweli.
 
NI KIPINDI CHAKUSIFIA UOZO.TUNAKIJUA.NI WAKATI WA KUONGELEA UCHUMI WA WATU,DEMOKRASIA YA WATU,MAENDELEO YA WATU,UHURU WA KUONGEA NA KUTOA MAONI.SIO MNAKAA NA KUANZA KUJIPENDEKEZA.ETI ALE BATA.SHAME UPON YOUR FACE.UNATAKIWA UTUBU KWA KUSIFIA UPUMBAVU.
Sasa hapa unafanya nini kama hakuna uhuru wa maoni
 
Kanena
 
Nchi hii ina vituko na watu wengine kama hivyo vituko vyenyewe.

Kipindi kama hiki ukiongea mambo ya ujinga wa hivi kama uko karibu na mie nakumwagia tope usoni. Anataka rais amuige yule check bobby boys2men ili iweje??

Ndo maana anaitwa baby make anaonesha bado ni adolescent kifikra.
 
Mtangazaji ‘ Kipenzi ‘ cha wengi Cloudstv360 Babie Kabae katika hali isiyokuwa ya kawaida leo asubuhi aliweza kutoa ‘ dukuduku ‘ lake moyoni kwa kumshauri Rais JPM ajitahidi awe anatenga muda kidogo wa Kula Bata / Kujiachia ili asiwe mwenye mawazo mengi na aache kila mara kupenda tu kwenda Kupumzika Kijijini Kwake.

Hii imekuja baada ya Mtangazaji huyo pamoja na wenzake wawili Hassan Ngoma na Samuel Sasali walipokuwa wakijadili ‘ Kauli ‘ ya Rais JPM aliposema kuwa anashangaa ni jinsi gani Watangulizi wake Marais Wastaafu Mkapa na Kikwete waliweza Kuiongoza Tanzania bila ya hata Wao Kuchoka na mpaka leo bado wanaonekana wako ‘ fit ‘ huku Yeye ndiyo Kwanza tu akiwa na miaka mitatu Madarakani lakini anaona ‘ Maluweluwe ‘ na Kuchoka kutokana na ‘ changamoto ‘ ambazo anazipata.

Kiukweli nipo tayari hata kumuandalia Rais JPM schedule yake ya Christmas pamoja na Mkewe Mama Janet ili waende tu Kupumzika Mbugani au Zanzibar huku wakiwa wamejiachia kabisa na asifanye Kazi yoyote ya Kiserikali ili atulize akili zake kuliko ambavyo hivi sasa pamoja na changamoto zake bado tu anazizidisha tena kwa kwenda Kijijini Chato ambako nako huko tena hupata changamoto zingine hatimaye anajikuta anaona Urais ni kama mzigo Kwake “ alisema Babie Kabae.

Wakati Mtangazaji huyo akiongea hivyo Wenzake akina Hassan Ngoma na Samuel Sasali wao ‘ walichagiza ‘ zaidi katika hali ya ‘ Utani ‘ kama kawaida yao kwa kusema kwamba akina Mkapa na Kikwete hawakuona ‘ Urais ‘ changamoto Kwao kwakuwa Wao muda mwingi walikuwa wakisafiri Ulaya na Marekani ambapo wakirudi Tanzania basi akili zao huwa zimebadilika kidogo kuliko Yeye JPM ambaye kama akisafiri sana basi ni ama Kampala au Kigali ila sana sana Kijijini Kwake huko Chato Mkoani Geita.

Je unadhani Mtangazaji huyu yuko sahihi au hayuko sahihi kiasi gani kwa hii ‘ Kauli ‘ yake dhidi ya Rais JPM?

Nawasilisha.
Hawa Clouds wasidhani kama walifanikiwa kumrubuni JK mpaka kumuandalia birthday na kwa huyu watafanikiwa, hakuna kitu kama hicho.

Uzuri wa huyu tuko naye hapahapa, siyo unafungia watu ndani halafu wewe unaongoza nchi kutokea hotelini ulaya kama Paulo Biya.

Sikubaliani na ushauri wa Baby kwani wote tunatamani tukapumzike huko mbugani kuondowa stress lakini tumepigika, sasa mkitaka kumtofautisha Jiwe na sisi mnakosea sana.

Baby aelewe vizuri the best offer anayoweza kuipata kwa Magufuli ni uteuzi tu na siyo kumpiga pesa Magufuli jiwe halipigiki ki hivyo, huo mchezo uliishia kwa yule mswahili wa Msoga.
 
Huyo magu Hana Sura ya Kula bata huyo!

Labda alee viazi na michembe!
Muacheni mzee wa watu, huko Cameroon Paulo Bia anaongoza maiti.

IMG-20181105-WA0028.jpeg
 
NI KIPINDI CHAKUSIFIA UOZO.TUNAKIJUA.NI WAKATI WA KUONGELEA UCHUMI WA WATU,DEMOKRASIA YA WATU,MAENDELEO YA WATU,UHURU WA KUONGEA NA KUTOA MAONI.SIO MNAKAA NA KUANZA KUJIPENDEKEZA.ETI ALE BATA.SHAME UPON YOUR FACE.UNATAKIWA UTUBU KWA KUSIFIA UPUMBAVU.
kwani unawalazimisha watu wote wawe na mawazo kama ya kwako
 
Rais John Bado ananyoosha nchi ina Mikunjo,

Urais ni mrahisi kama ukiwa na Mawazo kama ya Kikwete Na mwinyi

Ila Urais ni Mgumu kama ukiwa na mawazo Ya Nyerere, Mkapa na Magufuli
Ninaona harufu ya udini!
 
Back
Top Bottom