Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,261
- 17,202
Ni kweli hata mimi nalisikia sana hili jina..Oscar Ulasa nimesikia akitaja jina hili hili
Walikuwa wakijiuliza mchezaji gani wa KMC ametoka mechi kati ya Yanga v KMC
Ulasa akasema 'ahsante sana Abbysai Steven kwa kunisaidia'
Baada ya kumtext mchezaji aliyetoka
Sasa huyo Abbysai Steven ni nani?