Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,261 Reaction score 17,202 Feb 17, 2024 #61 Msela Wa Kitaa said: Oscar Ulasa nimesikia akitaja jina hili hili Walikuwa wakijiuliza mchezaji gani wa KMC ametoka mechi kati ya Yanga v KMC Ulasa akasema 'ahsante sana Abbysai Steven kwa kunisaidia' Baada ya kumtext mchezaji aliyetoka Sasa huyo Abbysai Steven ni nani? Click to expand... Ni kweli hata mimi nalisikia sana hili jina..
Msela Wa Kitaa said: Oscar Ulasa nimesikia akitaja jina hili hili Walikuwa wakijiuliza mchezaji gani wa KMC ametoka mechi kati ya Yanga v KMC Ulasa akasema 'ahsante sana Abbysai Steven kwa kunisaidia' Baada ya kumtext mchezaji aliyetoka Sasa huyo Abbysai Steven ni nani? Click to expand... Ni kweli hata mimi nalisikia sana hili jina..
koncho77 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 7,789 Reaction score 10,388 Feb 17, 2024 #62 Mshuza2 said: Ni kweli hata mimi nalisikia sana hili jina.. Click to expand... Kuna Abbysai Stephen Jr yupo pale EA Radio
Mshuza2 said: Ni kweli hata mimi nalisikia sana hili jina.. Click to expand... Kuna Abbysai Stephen Jr yupo pale EA Radio