Demo tape? Irushe hapa jamvini.Habari wana Jf.
Jamani mimi napenda sana utangazaji hasa Tv & Radio Broadcasting. Najijua nina kipaji cha kutosha kutangaza. Sijasomea fani hiyo sehemu yoyote. Kama kuna muhusika humu ndani ya Jf plz naomba anipe chance hiyo. Niko tayari kufanya kazi kwenye kituo cha redio n Tv sehemu yoyote hapa Tz.
I hope sitamwangusha mtu,na atapenda!
Nipeni nafasi jamani.
Niko serious wajameni.
Na niko tayari angalau kufanyiwa testing ya one month for free.
0718651174, 0787638644
Habari wana Jf.

Umepotelea wapi Jeryson kuna maswali ya kujibu kiwango chako cha elimu, ufahamu wa lugha yaani Kiswahili na Kingereza, na Je upo mkoa gani kwa sasa ?
msikilizeni jamani kwani siku hizi kusoma ni udhibitisho tuu marifa kwa mkichwa!! Yawezekana jamaa ni jembe sana, na watu wa aina hii ni wakipekee sana, laiti ningekuwa na uwezo ningekutafuta!!
yaaa siku hizi ni kutuma demo kwanza haitwi mtu bila kusikia sauti yake labda ngoja nikuandalie script usome halafu record weka jamvini hapa ukifanikiwa kusoma vyema nitakuunganisha mahala moja kwa moja! wengi wameshasema wanaweza wakishafika studio wakajaribiwa hata wakishindwa wanalilia ooooh nitajifunza nitaweza!!! hatutaki hiyoooo nitakutumia scripti kupitia pm yako kesho masaa ya mchana halafu uisome na urekodi kwenye any form ingawa nzuri kwenye software yeyote unayoijua ya sauti iwe fruitloop,adobeaudition,pinacle nk!
Ni mdau katika sekta hiyo niliyekata shule Afrika Kusini kwenye tasnia hiyo na kufanya practical pale SABC natambua hata harufu tu ya sauti!!!!