Dumelang
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 3,204
- 5,710
kila kazi na maadili yake haya mambo ya kuvamia kisa kipaji ndo hawa wana habari walioenda shule wana waita makanjanja, alafu baada ya kuanza kazi eti nae anasema mimi profesional! hehe, kweli? coz najua hata ukiwachukua wale makanjanja wa clouds pale ukiwahoji watakwambia "am a proffesional radio presenter bana" hivi criteria za field fulan au mtu kuitwa ni proffesion mnazijua?
hata kipaji kinahitaji shule ili uwe na ethics za field husika, ushauri wangu kwako jerry peleka kipaji shule then utakuwa pouwa zaidi usije ukawa kama watangazaji wa fm nyingi siku hizi akijua kukopi sauti ya mchomvu na b dozen na musa x prezenta wa EATV wanahisi wanajua hehehe, am not in that field lakini nahsi wakongwe wana habari hawafurahii hizi mambo zenu