Huyu alisoma enzi zile ambazo nchi hii ilikuwa na shule...kama sikosei alisoma Tabora au ShinyangaHata akiongea Kiingereza ni very smart. Grammar and accent super
Nadhani wenye Radio ndio walifanya makosa...na kumkosa mtangazaji mwenye akili......Huyu anaweza ''tema yai'' hata mwenye Radio asiambulie kitu.Ni mzuri ila alifanya makosa kwenye redio zisizo na jina. Kwa hiyo sasa hivi yuko TBC? Kkipindi gani?
Alimwambia salama Jabir kwenye kipindi cha mkasi, alisomea shinyanga kwenye shule iliyokuwa inasomesha watoto wa kizungu waliokuwa kwenye mgodi wa williams enzi hizo na hata mtaa aliokuwa anaishi ni wa kambi za wazungu hao kwa kuwa babake alikuwa bosi mgodini hapo.Huyu alisoma enzi zile ambazo nchi hii ilikuwa na shule...kama sikosei alisoma Tabora au Shinyanga
Hapendi kuingiliwa kwenye taaluma awapo kazini, alesema kilicho muondoa IPP enzi hizo ni kuletewa habari aitangaze wakati tayari alikuwa amekwisha anza kurusha habari radioni na hiyo habari ilikuwa haija hakikiwa ila kwa kuwa ililetwa na bosi enzi hizo marehemu MUTIE aka kataa kuisoma na bosi akamwambia aandike barua ya kujieleza akampa maelezo ya mdomo bosi aka mind maosud akaamua kuacha kazi. Nadhani hiki ndio kimemfanya abakie TBC kuongozwa kimzuka na mabosi wasio na taaluma ni shida.Nadhani wenye Radio ndio walifanya makosa...na kumkosa mtangazaji mwenye akili......Huyu anaweza ''tema yai'' hata mwenye Radio asiambulie kitu.
Ndio maana ana exposure sana huyu jamaaAlimwambia salama Jabir kwenye kipindi cha mkasi, alisomea shinyanga kwenye shule iliyokuwa inasomesha watoto wa kizungu waliokuwa kwenye mgodi wa williams enzi hizo na hata mtaa aliokuwa anaishi ni wa kambi za wazungu hao kwa kuwa babake alikuwa bosi mgodini hapo.
...kuwa na adabu!.,mume wa babaako huyo eboo!ndo yule mbabu kama choko?
He! jamani umesoma kweli post vizuri duuuuu kwani amekufa au wanamsifia tuR.I.P
...kuwa na adabu!.,mume wa babaako huyo eboo!
(usimwambie mamaako lakini)
...teh teh teh...ushakubali kuwa nguruwe.,usidai mabawa!watakuwa wake wenza na babako
yes, masoud ni noma, anajua saana lugha huyu jamaa( Kiswahili na English)Bado tunahitaji sana watangazaji kama Masoud. Anaongea kiswahili fasaha na anajua nini la kusema na wapi pa kulisemea
Daah masoud ni noma, ubaya wake hapendi kupelekeshwaNadhani wenye Radio ndio walifanya makosa...na kumkosa mtangazaji mwenye akili......Huyu anaweza ''tema yai'' hata mwenye Radio asiambulie kitu.
Kuna kipindi alikuwa redio Uhuru.!Ni mzuri ila alifanya makosa kwenye redio zisizo na jina. Kwa hiyo sasa hivi yuko TBC? Kkipindi gani?