Mtangazaji Masoud Masoud wa TBC

Mtangazaji Masoud Masoud wa TBC

Mkuu BEHOLD kama hutojali ikiwezekana tuwekee picha yake ili tupate kumjua.
masoud%2Bmasoud.jpg
 
Huyu alisoma enzi zile ambazo nchi hii ilikuwa na shule...kama sikosei alisoma Tabora au Shinyanga
Alimwambia salama Jabir kwenye kipindi cha mkasi, alisomea shinyanga kwenye shule iliyokuwa inasomesha watoto wa kizungu waliokuwa kwenye mgodi wa williams enzi hizo na hata mtaa aliokuwa anaishi ni wa kambi za wazungu hao kwa kuwa babake alikuwa bosi mgodini hapo.
 
Nadhani wenye Radio ndio walifanya makosa...na kumkosa mtangazaji mwenye akili......Huyu anaweza ''tema yai'' hata mwenye Radio asiambulie kitu.
Hapendi kuingiliwa kwenye taaluma awapo kazini, alesema kilicho muondoa IPP enzi hizo ni kuletewa habari aitangaze wakati tayari alikuwa amekwisha anza kurusha habari radioni na hiyo habari ilikuwa haija hakikiwa ila kwa kuwa ililetwa na bosi enzi hizo marehemu MUTIE aka kataa kuisoma na bosi akamwambia aandike barua ya kujieleza akampa maelezo ya mdomo bosi aka mind maosud akaamua kuacha kazi. Nadhani hiki ndio kimemfanya abakie TBC kuongozwa kimzuka na mabosi wasio na taaluma ni shida.
 
Huyu jamaa anaujua mziki kuutangaza na kuuelezea kwa uzuri zaidi ya tunavyofikiria.

Mara nyingi namsikia redion kwa bahati mbaya tu, sijui huwa anatangaza muda mishale gani?
 
Alimwambia salama Jabir kwenye kipindi cha mkasi, alisomea shinyanga kwenye shule iliyokuwa inasomesha watoto wa kizungu waliokuwa kwenye mgodi wa williams enzi hizo na hata mtaa aliokuwa anaishi ni wa kambi za wazungu hao kwa kuwa babake alikuwa bosi mgodini hapo.
Ndio maana ana exposure sana huyu jamaa
 
Huyu Mzee anajua sana. Anaonesha ukongwe wake katika utangazaji. Kuna mwingine mtangazaji wa zamani alikuwa anaitwa Mikidadi Mahmoud sijui yupo wapi siku hizi.!
 
Back
Top Bottom