Mtangazaji Masoud Masoud wa TBC

Masoud...Masoud...[HASHTAG]#The[/HASHTAG] legend#
 
Alikuwa Dj kwa jina Nigger J, miaka ya ujana wake alikuwa na afro hata simba angeweza kujificha
 
Alikuwa Dj kwa jina Nigger J, miaka ya ujana wake alikuwa na afro hata simba angeweza kujificha
Yeah, back in the days.
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Mkuu Babake alikuwa msaidizi wa ndani wa nyumba moja ya Boss wa kizungu(Mzee Masoud) so walikaa servant quarters enzi hizo mitaa hiyo ya uzunguni Mwadui, Shinyanga so akabenefit kusomea shule ya kizungu na kukulia kwenye jamii hizo za kizungu. Kabila ni mnyamwezi kutoka sikonge Tabora. Kaoa lakini ndoa zake zote hazidumu sijui kama ana watoto (Kuna mengi tusiyoyajua au hayatuhusu nyuma ya pazia kuhusu Manju).
 
Kaoa lakini ndoa zake zote hazidumu sijui kama ana watoto (Kuna mengi tusiyoyajua au hayatuhusu nyuma ya pazia kuhusu Manju
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ˜žπŸ˜žπŸ˜žπŸ˜ž
 
Nilimsikilizila kwenye mahojiano zamani ameowa mara 6 au 8 km sijakosea. Nilishangaa sana.
 
Yupo vizuri sana na anajua mambo mengi ya mziki na mziki anaujua
 
Mjukuu wake anafanya kazi cloud fm CPA Isa masoud
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…