Mtangazaji Maulid Kitenge anahoji Kamati ya Saa 72 kushindwa kuihukumu Coastal Union, ila ya Yanga SC na jezi yake nyeusi hashangai

Mtangazaji Maulid Kitenge anahoji Kamati ya Saa 72 kushindwa kuihukumu Coastal Union, ila ya Yanga SC na jezi yake nyeusi hashangai

Tafuta hoja nyingine kwani pre match meeting unajua maana yake? Kinawahusisha watu gani? Je unajua wanachokuwa wamekubaliana? Nijibu kwanza ndio tuendelee
Hauna Akili acha kunipotezea muda!!
 
Kitenge nimesoma naye Al Haramain, alikula division 0.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
GENTAMYCINE nilipolisema hili hapa na kila mara Kulisisitiza Watu waliona Nadanganya , Namuonea na nina Chuki nae ila baada ya nawe pia kuja Kushindilia Msumari huu wa mwisho Wataelewa na Kunielewa.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
 
Mtanipa mrejesho, hivi kuna mchezaji hata mmoja wa Coastal ameadhibiwa?, mana katika mechi ile na Azam, kuna mchezaji wa Coastal alimpiga refa kwa kiatu ingawa hakikumpata vizuri. Yaani ilikuwa ni uhuni kweli!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom