Tafuta hoja nyingine kwani pre match meeting unajua maana yake? Kinawahusisha watu gani? Je unajua wanachokuwa wamekubaliana? Nijibu kwanza ndio tuendelee
GENTAMYCINE nilipolisema hili hapa na kila mara Kulisisitiza Watu waliona Nadanganya , Namuonea na nina Chuki nae ila baada ya nawe pia kuja Kushindilia Msumari huu wa mwisho Wataelewa na Kunielewa.
Mtanipa mrejesho, hivi kuna mchezaji hata mmoja wa Coastal ameadhibiwa?, mana katika mechi ile na Azam, kuna mchezaji wa Coastal alimpiga refa kwa kiatu ingawa hakikumpata vizuri. Yaani ilikuwa ni uhuni kweli!