Mtangazaji Maulid Kitenge mwenye Mahaba yasiyojificha na yaliyopitiliza kwa Yanga SC badilika kwani tumekuvumilia vya Kutosha

Kitenge amezidi unazi kuna muda anatoka kwenye weledi kabisa. Ambangile pale Wasafi na Edo ndio wanajadili mada kwa kuprocess informations ili kujenga hoja.
 
Saivi ukitaka kuwauzi watani wewe mzungumize vibaya boss wao Mo, kitenge anasimania ethics za kazi zake.
Mkuu hebu kuwa mkweli, kama wewe ni msikilizaji wa Sports Arena wala hilo halina shaka, na wala usiseme kwa kuwa anayezungumziwa ni Mo. Huyo Mo ni jambo moja tu, kuna mengi sana likiwemo maswala ya Morrison, jamaa huwa anaongea either kwa uchochezi au kwa uchungu
 
Mbona anaisemaga Yanga vibaya unakumbuka ile issue ya Mwakalebela na uongozi wa Yanga kiujumla alivyoishikia bango mbona ukuanzisha Uzi
 
Umwambie na Shafih Dauda pale Mawingu aisee bora Kitenge Maulid
Binafsi Ni mshabiki wa Simba mbona kitenge yupo fair Sana SEMA tatizo letu sisi Simba hatupendi team yetu izungumziwe vibaya hata Kama ipo nje ya mstari ndio maana kigwangala japo nae Ni Simba alivyohoji tu akatukanwa Sana na mashabiki
 
Mara ngapi anaisema Yanga mbona ukufungua Uzi unakumbuka ile issue ya Mwakalebela alivyoishikia njunga SEMA sisi mashabiki tunapenda team zetu zisifiwe hata Kama zinakosea
 
Mbona anaisemaga Yanga vibaya unakumbuka ile issue ya Mwakalebela na uongozi wa Yanga kiujumla alivyoishikia bango mbona ukuanzisha Uzi
Mwakalebela alilikoroga na ndio maana hata yeye mwenyewe alikiri kosa akaomba msamaha. Lakini huku Simba analeta habari za kuhisi ambazo ukweli wake hata ukija baadaye anakuwa ameshaharibu taswira ya Simba
 
Binafsi Ni mshabiki wa Simba mbona kitenge yupo fair Sana SEMA tatizo letu sisi Simba hatupendi team yetu izungumziwe vibaya hata Kama ipo nje ya mstari ndio maana kigwangala japo nae Ni Simba alivyohoji tu akatukanwa Sana na mashabiki
Ukitaka. Ukosane na mbongo mwambie ukweli ama umkosoe..balaa..
 
Acha ushamba, mkiambiwa ukweli mna nuna mnabadilisha ID alafu mnatukana watu.
 
Mkuu sawa ila maeelezo mengi hujasema alichokisema Mpaka Mkakwazika ili na 0sisi tuweze kujibu kwa hoja
Hivi ile uzushi wa Kagere kupigana na kocha wake,ni redio ipi walishadadia Sana,mpaka wakampigia simu meneja wa[emoji881] ,akakanusha uzushi huo,hawakutosheka wakampigia simu Chiriku wa Simba,Chiriku akawapa vidonge vyao?
 
Sasa kila mtangazaji wa michezo aanze kuleta ulia lia wale kwenye vipindi, hivo vipindi atasikiliza nani?
 
Sasa kila mtangazaji wa michezo aanze kuleta ulia lia wale kwenye vipindi, hivo vipindi atasikiliza nani?
Kinachotakiwa ni professionalism. Basi.
Ndiyo maana wengine wanaficha wako timu zipi maana hawana weledi wa kutosha
 
"Sina shida kabisa na aina ya Utangazaji wako kwani hata Mimi japo ni mwana Simba SC naupenda na labda nikuambie tu Wewe umekuwa ni Mtangazaji Mahiri mno wa Michezo katika Watangazaji wa Kizazi hiki cha Kati na umeweza Kuwashawishi Watu wengi (Watangazaji) wengi wa Michezo Kukuiga kwa Mikogo yako ya Kiutangazaji"

Mengine yote hayana maaana
 
Ukiachilia mbali unazi wa Simba na Yanga. Hapo nilipo bold brother umechemka sana labda kama hujui maana ya true professional. Kitenge ni mtangazaji wa hovyo kuwahi kutoka, ana sifa sana hafi kuitwa pro.
 
Yeye akiwa yanga ndiyo anasababisha simba kufungwa?
 
Hiyo ya kuchomekea matangazo kukwepesha mjadala ndio janjajanja yake kenhe huyo
 
Mkuu upo sahihi kabisa,nakumbuka hata sakata la Singano huyu na wenzake wa EFM (wakati ule) walilivalia njuga mpaka Singano akatukimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…