That is your opinion. Respect mine, I will respect yours.Ukiachilia mbali unazi wa Simba na Yanga. Hapo nilipo bold brother umechemka sana labda kama hujui maana ya true professional. Kitenge ni mtangazaji wa hovyo kuwahi kutoka, ana sifa sana hafi kuitwa pro.
Haiwezekani Wewe 24/7 tu Utangazaji wako uwapo hapo Wasafi FM kwa Kushirikiana na Mpuuzi mwenzio Yusuph Mkule nyie Kazi yenu Kuu ni kutafuta tu negative angle ya Kuihusu Simba SC na Kuichafua. Mimi huwa ni mgumu sana Kumsema (Kumnanga) Mtu ila ukiona hadi hivi leo nimekuanzishia hapa JamiiForums huu Uzi jua umenikera.
Uweledi wako katika Utangazaji kila siku unazidi tu Kushuka (Kupungua) na najua wapo Wapumbavu wanaokudanganya kuwa Utangazaji wako huo wa Kinazi wa Kuipendelea sana Yanga SC kwa Gharama ya Kuikandia (Kuisiliba) Simba SC kunakupaisha na unapatia. Kitaaluma kabisa unachokifanya Kimekuharibia na Kukutengenezea Maadui kuliko Wadau muhimu.
GENTAMYCINE sisemi kuwa Wewe (ambaye ndiyo Mkuu wa Kitengo cha Michezo) hapo Wasafi FM msiwe mnaisema Simba SC pale ikitokea imeharibu. Tena nawaomba muwe mnatusema (mnaisema) Simba SC ila iwe ni katika namna ya Uwasilishaji wa Haki na Usawa lakini siyo aina yako Wewe na Kijana Mpuuzi Yusuph Mkule ambayo ni ya Kuichafua zaidi Simba SC kwa Wasikilizaji.
Kwa mfano unaweza kukuta Maulid Kitenge unatumia dakika 120 Kuijadili Simba SC na Kosa walilolifanya ( lililofanyika ) lakini aina ya Kosa hilo hilo likitokea kwa Yanga SC ama utalikwepesha lisijadiliwe (lisiongelewe) au ukiliruhusu lizungumzwe basi utalipa dakika 15 tu na Kujifanya unaharakisha kwenda katika Taarifa zingine. Huu ni Unafiki na very Unprofessional pia.
Najua uelewa wako katika Mambo ya Marketing, PR na hata Media Studies bado ni mdogo (na katika hili usinibishie kwani nakujua kuliko unavyojijua) hivyo basi umeshindwa kujua kuwa kwa Kuwakera Kwako Wasikilizaji wengi wa Simba SC tayari umeshaipunguzia Potential Audience Wasafi FM yako na nina uhakika Watu wenu wa Marketing watakubaliana nami hapa.
Ni kwanini umeshindwa tu hata Kuwaiga Wakongwe (Seniors) Kwako na Watu waliokutoa na Kukutengeneza akina Charles Nkwanga Hillary na Idrisa Abdallah Majura ambao walipokuwa Wakitangaza Vipindi vyao vya Michezo ulikuwa huwezi kujua kuwa Hillary ni Simba SC na Majura ni Yanga SC? Mbona Ibrahim Masoud wa EFM hawezi Unazi wake Simba SC akiwa Redioni?
Sina shida kabisa na aina ya Utangazaji wako kwani hata Mimi japo ni mwana Simba SC naupenda na labda nikuambie tu Wewe umekuwa ni Mtangazaji Mahiri mno wa Michezo katika Watangazaji wa Kizazi hiki cha Kati na umeweza Kuwashawishi Watu wengi (Watangazaji) wengi wa Michezo Kukuiga kwa Mikogo yako ya Kiutangazaji au Unavyohoji ila nakuomba badilika upesi.
Kama unaipenda sana Yanga SC na najua Wewe na Mpuuzi Yusuph Mkule mpo katika Payroll ya Yanga SC ambapo kila mnapokuwa mnaisema (mnaikandia) huku mkiichokonoa Simba SC basi mwisho wa Mwezi mnaingiziwa Pesa zenu. Basi waambie Yanga SC waanzishe kabisa Redio yao ili Wewe na Mpuuzi Yusuph Mkule muhamie huko na msiiharibie Wasafi FM.
Usipobadilika unaweza ukasababisha wale tuliokuwa tukikuvumilia basi kuanzia sasa nasi uvumilivu utushinde na ili nasi pia tuweze Kukunyoosha (hasa Sisi tunaokujua) tokea ukiwa pale kwa Chichi Uwanja wa Taifa na Matendo yako ya sasa hadi hizo Safari zako za Marekani ni za nini tunaweza Kuanika au Kukuanika na ukajiona hufai tena na waliokuheshimu wakakudharau.
Namalizia tu kwa Kusisitiza sisemi muogope / muache Kutusema (Kuisema) Simba SC pale ikikosea ila jaribuni Kutenda haki na msitumike vibaya.
MOWA tuache utannsimba unaipenda moyoni yaan na UYANGA WANGU NIKISOMA NANII ZETU ZA KARIAKOOO DOH..NAUMIA KIMOYOMOYOOOOTapikaaaaa
Huonii makorokochoo yakoo ya simba kila SIKU humuu
Kwenye uandishi na utangazaji,ukiona mtu anaonesha unazi wake hadharani,ujue hafai na ni lazima aondolewe kwenye hiyo kazi ili akafundishwe vizuri miiko ya kaziHaiwezekani Wewe 24/7 tu Utangazaji wako uwapo hapo Wasafi FM kwa Kushirikiana na Mpuuzi mwenzio Yusuph Mkule nyie Kazi yenu Kuu ni kutafuta tu negative angle ya Kuihusu Simba SC na Kuichafua. Mimi huwa ni mgumu sana Kumsema (Kumnanga) Mtu ila ukiona hadi hivi leo nimekuanzishia hapa JamiiForums huu Uzi jua umenikera.
Uweledi wako katika Utangazaji kila siku unazidi tu Kushuka (Kupungua) na najua wapo Wapumbavu wanaokudanganya kuwa Utangazaji wako huo wa Kinazi wa Kuipendelea sana Yanga SC kwa Gharama ya Kuikandia (Kuisiliba) Simba SC kunakupaisha na unapatia. Kitaaluma kabisa unachokifanya Kimekuharibia na Kukutengenezea Maadui kuliko Wadau muhimu.
GENTAMYCINE sisemi kuwa Wewe (ambaye ndiyo Mkuu wa Kitengo cha Michezo) hapo Wasafi FM msiwe mnaisema Simba SC pale ikitokea imeharibu. Tena nawaomba muwe mnatusema (mnaisema) Simba SC ila iwe ni katika namna ya Uwasilishaji wa Haki na Usawa lakini siyo aina yako Wewe na Kijana Mpuuzi Yusuph Mkule ambayo ni ya Kuichafua zaidi Simba SC kwa Wasikilizaji.
Kwa mfano unaweza kukuta Maulid Kitenge unatumia dakika 120 Kuijadili Simba SC na Kosa walilolifanya ( lililofanyika ) lakini aina ya Kosa hilo hilo likitokea kwa Yanga SC ama utalikwepesha lisijadiliwe (lisiongelewe) au ukiliruhusu lizungumzwe basi utalipa dakika 15 tu na Kujifanya unaharakisha kwenda katika Taarifa zingine. Huu ni Unafiki na very Unprofessional pia.
Najua uelewa wako katika Mambo ya Marketing, PR na hata Media Studies bado ni mdogo (na katika hili usinibishie kwani nakujua kuliko unavyojijua) hivyo basi umeshindwa kujua kuwa kwa Kuwakera Kwako Wasikilizaji wengi wa Simba SC tayari umeshaipunguzia Potential Audience Wasafi FM yako na nina uhakika Watu wenu wa Marketing watakubaliana nami hapa.
Ni kwanini umeshindwa tu hata Kuwaiga Wakongwe (Seniors) Kwako na Watu waliokutoa na Kukutengeneza akina Charles Nkwanga Hillary na Idrisa Abdallah Majura ambao walipokuwa Wakitangaza Vipindi vyao vya Michezo ulikuwa huwezi kujua kuwa Hillary ni Simba SC na Majura ni Yanga SC? Mbona Ibrahim Masoud wa EFM hawezi Unazi wake Simba SC akiwa Redioni?
Sina shida kabisa na aina ya Utangazaji wako kwani hata Mimi japo ni mwana Simba SC naupenda na labda nikuambie tu Wewe umekuwa ni Mtangazaji Mahiri mno wa Michezo katika Watangazaji wa Kizazi hiki cha Kati na umeweza Kuwashawishi Watu wengi (Watangazaji) wengi wa Michezo Kukuiga kwa Mikogo yako ya Kiutangazaji au Unavyohoji ila nakuomba badilika upesi.
Kama unaipenda sana Yanga SC na najua Wewe na Mpuuzi Yusuph Mkule mpo katika Payroll ya Yanga SC ambapo kila mnapokuwa mnaisema (mnaikandia) huku mkiichokonoa Simba SC basi mwisho wa Mwezi mnaingiziwa Pesa zenu. Basi waambie Yanga SC waanzishe kabisa Redio yao ili Wewe na Mpuuzi Yusuph Mkule muhamie huko na msiiharibie Wasafi FM.
Usipobadilika unaweza ukasababisha wale tuliokuwa tukikuvumilia basi kuanzia sasa nasi uvumilivu utushinde na ili nasi pia tuweze Kukunyoosha (hasa Sisi tunaokujua) tokea ukiwa pale kwa Chichi Uwanja wa Taifa na Matendo yako ya sasa hadi hizo Safari zako za Marekani ni za nini tunaweza Kuanika au Kukuanika na ukajiona hufai tena na waliokuheshimu wakakudharau.
Namalizia tu kwa Kusisitiza sisemi muogope / muache Kutusema (Kuisema) Simba SC pale ikikosea ila jaribuni Kutenda haki na msitumike vibaya.
Mimi natamani aendeleze huu ujuba wake ili tujue huko ughaibuni anafuata nini au anaenda kufanywa nini.Haiwezekani Wewe 24/7 tu Utangazaji wako uwapo hapo Wasafi FM kwa Kushirikiana na Mpuuzi mwenzio Yusuph Mkule nyie Kazi yenu Kuu ni kutafuta tu negative angle ya Kuihusu Simba SC na Kuichafua. Mimi huwa ni mgumu sana Kumsema (Kumnanga) Mtu ila ukiona hadi hivi leo nimekuanzishia hapa JamiiForums huu Uzi jua umenikera.
Uweledi wako katika Utangazaji kila siku unazidi tu Kushuka (Kupungua) na najua wapo Wapumbavu wanaokudanganya kuwa Utangazaji wako huo wa Kinazi wa Kuipendelea sana Yanga SC kwa Gharama ya Kuikandia (Kuisiliba) Simba SC kunakupaisha na unapatia. Kitaaluma kabisa unachokifanya Kimekuharibia na Kukutengenezea Maadui kuliko Wadau muhimu.
GENTAMYCINE sisemi kuwa Wewe (ambaye ndiyo Mkuu wa Kitengo cha Michezo) hapo Wasafi FM msiwe mnaisema Simba SC pale ikitokea imeharibu. Tena nawaomba muwe mnatusema (mnaisema) Simba SC ila iwe ni katika namna ya Uwasilishaji wa Haki na Usawa lakini siyo aina yako Wewe na Kijana Mpuuzi Yusuph Mkule ambayo ni ya Kuichafua zaidi Simba SC kwa Wasikilizaji.
Kwa mfano unaweza kukuta Maulid Kitenge unatumia dakika 120 Kuijadili Simba SC na Kosa walilolifanya ( lililofanyika ) lakini aina ya Kosa hilo hilo likitokea kwa Yanga SC ama utalikwepesha lisijadiliwe (lisiongelewe) au ukiliruhusu lizungumzwe basi utalipa dakika 15 tu na Kujifanya unaharakisha kwenda katika Taarifa zingine. Huu ni Unafiki na very Unprofessional pia.
Najua uelewa wako katika Mambo ya Marketing, PR na hata Media Studies bado ni mdogo (na katika hili usinibishie kwani nakujua kuliko unavyojijua) hivyo basi umeshindwa kujua kuwa kwa Kuwakera Kwako Wasikilizaji wengi wa Simba SC tayari umeshaipunguzia Potential Audience Wasafi FM yako na nina uhakika Watu wenu wa Marketing watakubaliana nami hapa.
Ni kwanini umeshindwa tu hata Kuwaiga Wakongwe (Seniors) Kwako na Watu waliokutoa na Kukutengeneza akina Charles Nkwanga Hillary na Idrisa Abdallah Majura ambao walipokuwa Wakitangaza Vipindi vyao vya Michezo ulikuwa huwezi kujua kuwa Hillary ni Simba SC na Majura ni Yanga SC? Mbona Ibrahim Masoud wa EFM hawezi Unazi wake Simba SC akiwa Redioni?
Sina shida kabisa na aina ya Utangazaji wako kwani hata Mimi japo ni mwana Simba SC naupenda na labda nikuambie tu Wewe umekuwa ni Mtangazaji Mahiri mno wa Michezo katika Watangazaji wa Kizazi hiki cha Kati na umeweza Kuwashawishi Watu wengi (Watangazaji) wengi wa Michezo Kukuiga kwa Mikogo yako ya Kiutangazaji au Unavyohoji ila nakuomba badilika upesi.
Kama unaipenda sana Yanga SC na najua Wewe na Mpuuzi Yusuph Mkule mpo katika Payroll ya Yanga SC ambapo kila mnapokuwa mnaisema (mnaikandia) huku mkiichokonoa Simba SC basi mwisho wa Mwezi mnaingiziwa Pesa zenu. Basi waambie Yanga SC waanzishe kabisa Redio yao ili Wewe na Mpuuzi Yusuph Mkule muhamie huko na msiiharibie Wasafi FM.
Usipobadilika unaweza ukasababisha wale tuliokuwa tukikuvumilia basi kuanzia sasa nasi uvumilivu utushinde na ili nasi pia tuweze Kukunyoosha (hasa Sisi tunaokujua) tokea ukiwa pale kwa Chichi Uwanja wa Taifa na Matendo yako ya sasa hadi hizo Safari zako za Marekani ni za nini tunaweza Kuanika au Kukuanika na ukajiona hufai tena na waliokuheshimu wakakudharau.
Namalizia tu kwa Kusisitiza sisemi muogope / muache Kutusema (Kuisema) Simba SC pale ikikosea ila jaribuni Kutenda haki na msitumike vibaya.
Yawezekana Siku ukijua Kiundani kabisa huko huwa anaenda Kufanywa / Kufanywa nini utamdharau hadi unaingia Kaburini Kwako. Tunamsitiri tu.Mimi natamani aendeleze huu ujuba wake ili tujue huko ughaibuni anafuata nini au anaenda kufanywa nini.
Wivu wa kike huo.Wewe siyo mwajiri wake anachokifanya Kama ni makosa atakosolewa na muajiri wake vinginevyo Acha wivu fanya yako muache afanye yakeHaiwezekani Wewe 24/7 tu Utangazaji wako uwapo hapo Wasafi FM kwa Kushirikiana na Mpuuzi mwenzio Yusuph Mkule nyie Kazi yenu Kuu ni kutafuta tu negative angle ya Kuihusu Simba SC na Kuichafua. Mimi huwa ni mgumu sana Kumsema (Kumnanga) Mtu ila ukiona hadi hivi leo nimekuanzishia hapa JamiiForums huu Uzi jua umenikera.
Uweledi wako katika Utangazaji kila siku unazidi tu Kushuka (Kupungua) na najua wapo Wapumbavu wanaokudanganya kuwa Utangazaji wako huo wa Kinazi wa Kuipendelea sana Yanga SC kwa Gharama ya Kuikandia (Kuisiliba) Simba SC kunakupaisha na unapatia. Kitaaluma kabisa unachokifanya Kimekuharibia na Kukutengenezea Maadui kuliko Wadau muhimu.
GENTAMYCINE sisemi kuwa Wewe (ambaye ndiyo Mkuu wa Kitengo cha Michezo) hapo Wasafi FM msiwe mnaisema Simba SC pale ikitokea imeharibu. Tena nawaomba muwe mnatusema (mnaisema) Simba SC ila iwe ni katika namna ya Uwasilishaji wa Haki na Usawa lakini siyo aina yako Wewe na Kijana Mpuuzi Yusuph Mkule ambayo ni ya Kuichafua zaidi Simba SC kwa Wasikilizaji.
Kwa mfano unaweza kukuta Maulid Kitenge unatumia dakika 120 Kuijadili Simba SC na Kosa walilolifanya ( lililofanyika ) lakini aina ya Kosa hilo hilo likitokea kwa Yanga SC ama utalikwepesha lisijadiliwe (lisiongelewe) au ukiliruhusu lizungumzwe basi utalipa dakika 15 tu na Kujifanya unaharakisha kwenda katika Taarifa zingine. Huu ni Unafiki na very Unprofessional pia.
Najua uelewa wako katika Mambo ya Marketing, PR na hata Media Studies bado ni mdogo (na katika hili usinibishie kwani nakujua kuliko unavyojijua) hivyo basi umeshindwa kujua kuwa kwa Kuwakera Kwako Wasikilizaji wengi wa Simba SC tayari umeshaipunguzia Potential Audience Wasafi FM yako na nina uhakika Watu wenu wa Marketing watakubaliana nami hapa.
Ni kwanini umeshindwa tu hata Kuwaiga Wakongwe (Seniors) Kwako na Watu waliokutoa na Kukutengeneza akina Charles Nkwanga Hillary na Idrisa Abdallah Majura ambao walipokuwa Wakitangaza Vipindi vyao vya Michezo ulikuwa huwezi kujua kuwa Hillary ni Simba SC na Majura ni Yanga SC? Mbona Ibrahim Masoud wa EFM hawezi Unazi wake Simba SC akiwa Redioni?
Sina shida kabisa na aina ya Utangazaji wako kwani hata Mimi japo ni mwana Simba SC naupenda na labda nikuambie tu Wewe umekuwa ni Mtangazaji Mahiri mno wa Michezo katika Watangazaji wa Kizazi hiki cha Kati na umeweza Kuwashawishi Watu wengi (Watangazaji) wengi wa Michezo Kukuiga kwa Mikogo yako ya Kiutangazaji au Unavyohoji ila nakuomba badilika upesi.
Kama unaipenda sana Yanga SC na najua Wewe na Mpuuzi Yusuph Mkule mpo katika Payroll ya Yanga SC ambapo kila mnapokuwa mnaisema (mnaikandia) huku mkiichokonoa Simba SC basi mwisho wa Mwezi mnaingiziwa Pesa zenu. Basi waambie Yanga SC waanzishe kabisa Redio yao ili Wewe na Mpuuzi Yusuph Mkule muhamie huko na msiiharibie Wasafi FM.
Usipobadilika unaweza ukasababisha wale tuliokuwa tukikuvumilia basi kuanzia sasa nasi uvumilivu utushinde na ili nasi pia tuweze Kukunyoosha (hasa Sisi tunaokujua) tokea ukiwa pale kwa Chichi Uwanja wa Taifa na Matendo yako ya sasa hadi hizo Safari zako za Marekani ni za nini tunaweza Kuanika au Kukuanika na ukajiona hufai tena na waliokuheshimu wakakudharau.
Namalizia tu kwa Kusisitiza sisemi muogope / muache Kutusema (Kuisema) Simba SC pale ikikosea ila jaribuni Kutenda haki na msitumike vibaya.
Wewe ya kwako yakiwekwa wazi na wanaokujua toka ukiwa shule ya Sekondari kule ........ Kumbuka ya kwako ambayo ndiyo tabia yako mpaka Sasa.Acha kupiga mkwara watu,acha watu wawe huru kwenye majukumu yao.Kelele anazopiga Mwarabu wa Nguruka hamzisikii,mkanyeni huyo kabla ya kuwakanya wengine kwanza nyie siyo muajiri wake mnajuaje Kama muajiri wake anapendezwa na kazi yake.Acheni wivu fanyeni ya kwenu msifuatilie maisha ya watu.Uswahili huo tena wa kizamaniYawezekana Siku ukijua Kiundani kabisa huko huwa anaenda Kufanywa / Kufanywa nini utamdharau hadi unaingia Kaburini Kwako. Tunamsitiri tu.
Wewe siyo muajiri wake.Unakereka na nn? Wabongo bwana ,hivi wewe unafamilia kweli? Acha kufuatilia life ya watu deal na maisha yako.Unataka aongee na kukufurahisha wewe na genge lako,acha hizo nenda kwenye media kaombe na wewe kazi ili ufanye upendavyo wewe Kama anakukeraKwenye uandishi na utangazaji,ukiona mtu anaonesha unazi wake hadharani,ujue hafai na ni lazima aondolewe kwenye hiyo kazi ili akafundishwe vizuri miiko ya kazi
Hahahaha watangazaji mnaoneana wivu ,maisha haya jamani hatari sana.Nenda kaoge Mto Ugalla ukitoka salama nyota yako itang'aa Kama ya KitengeNakubaliana na wewe Gentamycine, Kitenge ana ushabiki wa kijinga sana, alifundishwa kazi na Abubakary Liongo, ndio maana Majura hakumpenda sana wakati akiwa Redio One.
Maamaeeeeeeeh!!!!!!Yanga baba lao.. Unbeaten all over the world.
Piga kelele kwa Yanga akeeeeeeeeeeeeeeh...!!!!
Hilo wamejipa upofu hawaoni.Mbona anaisemaga Yanga vibaya unakumbuka ile issue ya Mwakalebela na uongozi wa Yanga kiujumla alivyoishikia bango mbona ukuanzisha Uzi
Kubanduliwa au?Vipi alibadilika?