Mleta Bandiko acha Kuvunja heshma za watu, Kitenge ni mtangazaji mwenye weredi na mkongwe katika media house, amesha shuhudia na kutangaza mechi ambazo Yanga imekua iki fungwa Kwa nyakati tofauti tena bila mahaba yoyote.
Kitenge anafanya kazi za uandishi wewe bado unachunga Ngo'mbe Sasa hii mitandao isi kufanye uwe bwege.