GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tukikuita Mnafiki na Mtangazaji mwenye Chuki na Simba SC na uko very Unprofessional huwa utadhani tunakosea au Kukukosea.
Nina uhakika na ninavyokujua kama Yanga SC yako Juzi ingeifunga Ihefu FC jana usingekwepa kuingia Studioni na ungeitangaza tokea Jana, Leo na Wiki hii nzima.
Haya Ihefu FC wameshatoboa Tundu.
Nina uhakika na ninavyokujua kama Yanga SC yako Juzi ingeifunga Ihefu FC jana usingekwepa kuingia Studioni na ungeitangaza tokea Jana, Leo na Wiki hii nzima.
Haya Ihefu FC wameshatoboa Tundu.