Mtangazaji: Nina mimba ya Sharo, mara tena alitaka kuoa shombe shombe, tutasikia mengi

Mtangazaji: Nina mimba ya Sharo, mara tena alitaka kuoa shombe shombe, tutasikia mengi

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
DSC065761-503x600.jpg

DSC06546-430x600.jpg

Jana tulisikia alitaka kuitisha kikao aoe shombe shombe, leo tena kuna mtangazaji kajitokeza ana mimba ya miez 4, sijui wengine tena watajitokeza kama marehemu Kanumba?

RIP Sharo Millionea, tunakuombea ulale salama
 
Attachments

  • DSC065761-503x600.jpg
    DSC065761-503x600.jpg
    50.7 KB · Views: 483
  • DSC06546-430x600.jpg
    DSC06546-430x600.jpg
    51.1 KB · Views: 307
Yameanza yale yale ya Kanumba.
Hivi hawa makurumbembe wanakuwa wapi kuzinadi hizo mimba zao wahusika wenyewe wakiwa hai?
Kwanini wanangoja hadi wafe ndipo wakimbilie magazetini?
Umaarufu hauji kwa namna hiyo, badilisheni mbinu.
MNAJIDHALILISHA
 
Nahisi ni mwendawazimu. Kwani kuwa na mimba ndiyo nini? Tangaza kwa sana mwenzio kapumzika hana shida wala purukushani. RIP sharo
 
Magazeti ya wajinga na wavivu wa kufikiri, hizo ndizo habari pendwa zinazopatikana kwenye magazeti hayo uchwara, usitalajie kukuta upuuzi huu kwenye Magazeti kama Mwananchi, Nipashe na Citizen.
 
Magazeti ya wajinga na wavivu wa kufikiri, hizo ndizo habari pendwa zinazopatikana kwenye magazeti hayo uchwara, usitalajie kukuta upuuzi huu kwenye Magazeti kama Mwananchi, Nipashe na Citizen.

Umelazimishwa kuyasoma?
Au ushambenga tu?
 
huyu sharo atampigia hela shigongo mpaka january, na shigongo naye apeleke baadhi ya hela zinazopatikana katika mauzo ya haya magazeti yake kwa mama sharo. naona dalili Ijumaa la keshokutwa likiandika "SHARO AFUFUKA"
 
Nalisubiria duh!!
 
Mtizamo wangu ni tofauti. Hivi inauma mtu kufa bila kuacha kiumbe na hii inawezekana kuwa faraja kwa ndugu na jamaa waliobaki. Vile vile kwa sie akinamama, huu unakuwa ni wakati wetu mgumu hasa ikizingatiwa kuwa baba wa kiumbe kilicho tumboni ametutoka. Jaribu kuangalia pande zote za shilingi
 
Usikute hajui mwenye mimba ni nani ..huwa kuna opportunities nyingi sana baada ya kifo
 
Back
Top Bottom