Mtangazaji: Nina mimba ya Sharo, mara tena alitaka kuoa shombe shombe, tutasikia mengi

Yameanza yale yale ya Kanumba.
Hivi hawa makurumbembe wanakuwa wapi kuzinadi hizo mimba zao wahusika wenyewe wakiwa hai?
Kwanini wanangoja hadi wafe ndipo wakimbilie magazetini?
Umaarufu hauji kwa namna hiyo, badilisheni mbinu.
MNAJIDHALILISHA
wenye nazo wanakuwa hawajawaruhusu jamani
 
tehe tehe tehe tehe sasa wewe ullikuwa unatakaje ukisha jitangaza au rambi rambi acha tamaa kwanza mimba nje ya ndoa huo ni uzinzi..ptuuuu
 
Unazini kavu kavu afu unakuja hapa eti una mimba..mbona hata paka wana mimba?hebu mwacheni mtoto wa watu apumzike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…