TANZIA Mtangazaji Sakina wa Radio Sauti ya Quran Afariki Dunia

Makimuda255

Senior Member
Joined
Jul 31, 2020
Posts
165
Reaction score
286
Kweli vizuri havidumu, huyu dada alivyokuwa beautiful kisu haswaa anyway R.I.P

Nimeitoa kwenye magroup huko[emoji1313]

Innalilah wainnaillah rajiun.

Aliyekuwa mtangazaji wa Radio Sauti ya Quran Sakina Juma Mshana amefariki dunia leo, hivi sasa mwili wake umewasili katika msikiti wa Maamur Upanga kwa ajili ya kumswalia. Endelea kufuatilia 102.1 Radio quran kwa taarifa zaidi.

Allah amfutie makosa yake.

 
Mkuu kifo hakichagui
 
Apumzike Kwa Amani, Ila Chuma Kweli Kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…