Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Ndo nani huyo?Mimi nasikitika kifo cha Lawrence Makonyu aliyeuawa na kikundi cha makamba,mwigulu nchemba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo nani huyo?Mimi nasikitika kifo cha Lawrence Makonyu aliyeuawa na kikundi cha makamba,mwigulu nchemba
Sipendi Kutajwa pasi na sababu ya Msingi. Imeletwa Taarifa ya Kifo halafu unanitaja Mimi hapa unataka Kumaanisha nini au Kuwaaminisha nini Watu?
Mungu amuweke mahala pema pepon AaaaaaaaaaaaaaaaminSipendi Kutajwa pasi na sababu ya Msingi. Imeletwa Taarifa ya Kifo halafu unanitaja Mimi hapa unataka Kumaanisha nini au Kuwaaminisha nini Watu?
Tokea Jana unahangaika sana na Mimi na labda nikuambie endelea Kujidanganya kuwa unanijua vyema ila Mimi sikufahamu kwa hii ID yako na nyinginezo.
Tusije tu Kulaumiana huko mbeleni.
Mbona unampatia amri Allah "amfutie dhambi" nakati tulikubaliana kuwa yeye ndiye mungu mnyaazi wa yote? Kuwa na adabu basi hata kinafki tu hala! [emoji57]Kweli vizuri havidumu, huyu dada alivyokuwa beautiful kisu haswaa anyway R.I.P
Nimeitoa kwenye magroup huko[emoji1313]
Innalilah wainnaillah rajiun.
Aliyekuwa mtangazaji wa Radio Sauti ya Quran Sakina Juma Mshana amefariki dunia leo, hivi sasa mwili wake umewasili katika msikiti wa Maamur Upanga kwa ajili ya kumswalia. Endelea kufuatilia 102.1 Radio quran kwa taarifa zaidi.
Allah amfutie makosa yake.
View attachment 2604889View attachment 2604891
Kwa baraka za sa100Mimi nasikitika kifo cha Lawrence Makonyu aliyeuawa na kikundi cha makamba,mwigulu nchemba
Kwahiyo wameamua kuuwa wakaguzi wetu waliotumwa kuwakagua baada ya kutupora mabilioni?Mimi nasikitika kifo cha Lawrence Makonyu aliyeuawa na kikundi cha makamba,mwigulu nchemba
Inna lillah wainna ilayhi raajiunKweli vizuri havidumu, huyu dada alivyokuwa beautiful kisu haswaa anyway R.I.P
Nimeitoa kwenye magroup huko[emoji1313]
Innalilah wainnaillah rajiun.
Aliyekuwa mtangazaji wa Radio Sauti ya Quran Sakina Juma Mshana amefariki dunia leo, hivi sasa mwili wake umewasili katika msikiti wa Maamur Upanga kwa ajili ya kumswalia. Endelea kufuatilia 102.1 Radio quran kwa taarifa zaidi.
Allah amfutie makosa yake.
View attachment 2604889View attachment 2604891
Kuna watu humu bila kukuchokozaSipendi Kutajwa pasi na sababu ya Msingi. Imeletwa Taarifa ya Kifo halafu unanitaja Mimi hapa unataka Kumaanisha nini au Kuwaaminisha nini Watu?
Tokea Jana unahangaika sana na Mimi na labda nikuambie endelea Kujidanganya kuwa unanijua vyema ila Mimi sikufahamu kwa hii ID yako na nyinginezo.
Tusije tu Kulaumiana huko mbeleni.
Halafu wanajidanganya kuwa siwajui.Kuna watu humu bila kukuchokoza
Hawajisiki rahaa mkuu
Uchokozi wanaanzishaga wenyewe
Ova
🤲 AamiynAllah amfutie makosa yake.