TANZIA Mtangazaji Sakina wa Radio Sauti ya Quran Afariki Dunia

Mungu amrehemu marehemu ampe pumziko la Amani.

Binadamu tujifunze sana kuishi kwa kuvumiliana na kusaidiana kifo ni wakati wowote,jana kuna katoto ka Kisambaa 4yrs kalizaliwa na matatizo ya kichwa kikubwa baba yake ameuza kila unachoweza kusema ni cha thamani kwake akaja mpaka kwa sisi rafiki zake mtoto apone mwisho jana alfajiri kameondoka,hii imeniuma sana.

Hiyo hiyo jana jioni nimekaa eneo langu la kazi kinakuja kitabu jamaa wana picha ya brother mmoja tulikuwa tunafanya biashara pamoja zamani mchango kwamba amefariki,tuishi kwa step sana hakuna mmiliki wa dunia.
 
Sipendi Kutajwa pasi na sababu ya Msingi. Imeletwa Taarifa ya Kifo halafu unanitaja Mimi hapa unataka Kumaanisha nini au Kuwaaminisha nini Watu?

Tokea Jana unahangaika sana na Mimi na labda nikuambie endelea Kujidanganya kuwa unanijua vyema ila Mimi sikufahamu kwa hii ID yako na nyinginezo.

Tusije tu Kulaumiana huko mbeleni.
 
Mungu amuweke mahala pema pepon Aaaaaaaaaaaaaaaamin
 
Mbona unampatia amri Allah "amfutie dhambi" nakati tulikubaliana kuwa yeye ndiye mungu mnyaazi wa yote? Kuwa na adabu basi hata kinafki tu hala! [emoji57]
 
Mimi nasikitika kifo cha Lawrence Makonyu aliyeuawa na kikundi cha makamba,mwigulu nchemba
Kwahiyo wameamua kuuwa wakaguzi wetu waliotumwa kuwakagua baada ya kutupora mabilioni?
 
Inna lillah wainna ilayhi raajiun
 
Kuna watu humu bila kukuchokoza
Hawajisiki rahaa mkuu
Uchokozi wanaanzishaga wenyewe

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…