Mtangazaji Sam Mahela acha kutingisha kichwa unapomaliza kutangaza

barafuyamoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
32,378
Reaction score
29,739
Habari zenu!
Kwa kweli unaboa, naona watangazaji wa itv kila mmoja anakuja na 'symbol' yake!
Sam Mahela hii ya kwako inaboa kama ya Georgeeèee Maratoooooo wa aaaaaaaaaaiiiiitiiiiiiiiiiiviiiiiiiiiiiiiii, roryaaaaaaaaaaaam!
Sasa mahela yeye ana yake ya Sam Mahela wa Itv alafu anamalizia kama anadondosha bichwa, bro, unaboa sana! Njoo na symbol ya maana sio kupepesa bichwa!
 
Mwacheni Bro na swaga yake..hiyo sasa ndo inamtofautisha na wengine.. Kwa hiyo na bwana Kivuyo aache kutoa vionjo vyake akireport michezo kisa mmoja au wawili wanakuwa bored? ha ha ha
aaaaaaaaggrŕhhhh!
 
Hahahaha Georgeeeeeeee Maratooo huyo jamaa ananiacha hoi balaa
 
Mimi napenda sana anavyotikisa Kichwa, naweza hata nisisikilize habar nkasubr hicho kichwa tu . . . hiyo ni trade mark yake.

Acheni vijana wetu wafanye mambo, big up Sam
[emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Mbn umtaji salimu kikeke kuweka pizi lakushka tama!! Mazoea yakizid ujenga tabia
 
Jamaa anaiga wazungu kutikisa vichwa wkt wa kusogeza nywele. Naona hata wadada wengi wa kiafrika hufanya upuuzi huu. Hiyo ndo laana ya mwafrika, wkt wote kutaka afanane na mzungu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…