yusuphmarcogaga
Senior Member
- Jan 5, 2014
- 145
- 162
Hacha ujinga yule ni mwanaume mwenzio unataka style ya kaz gan ........omba gemu uone kama atatingisha kichwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna professionalism hapo.Habari zenu!
Kwa kweli unaboa, naona watangazaji wa itv kila mmoja anakuja na 'symbol' yake!
Sam Mahela hii ya kwako inaboa kama ya Georgeeèee Maratoooooo wa aaaaaaaaaaiiiiitiiiiiiiiiiiviiiiiiiiiiiiiii, roryaaaaaaaaaaaam!
Sasa mahela yeye ana yake ya Sam Mahela wa Itv alafu anamalizia kama anadondosha bichwa, bro, unaboa sana! Njoo na symbol ya maana sio kupepesa bichwa!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23]Mimi napenda sana anavyotikisa Kichwa, naweza hata nisisikilize habar nkasubr hicho kichwa tu . . . hiyo ni trade mark yake.
Acheni vijana wetu wafanye mambo, big up Sam
Afadhali umeamua kufunguka huyu jamaa anatafuta sifa za kijinga sanaHabari zenu!
Kwa kweli unaboa, naona watangazaji wa itv kila mmoja anakuja na 'symbol' yake!
Sam Mahela hii ya kwako inaboa kama ya Georgeeèee Maratoooooo wa aaaaaaaaaaiiiiitiiiiiiiiiiiviiiiiiiiiiiiiii, roryaaaaaaaaaaaam!
Sasa mahela yeye ana yake ya Sam Mahela wa Itv alafu anamalizia kama anadondosha bichwa, bro, unaboa sana! Njoo na symbol ya maana sio kupepesa bichwa!
Bora ya Georg maratu kuliko huyu wa bashiteGeorge maratuuuu itviiiiiiiii roryaaaaaaa
Nasikia uyu jamaa mzee Mengi mwenyewe alimwambia george maratu kua aache kusema mimi ni george maratuu itviiiiii tarimeeee
Maratu akasema bora aache kazi lakini sio aache kusema mimi ni george maratuuuuuu itvvvvvvv MARAAAA
Kwanza hajui kuwabana na maswali,hajiamin,angalia majirani zetu wakenya wanavyowabana wanaowahojiAnanikera anapodanyaga kipinda cha dakika 45 huwa hachan nywele halafu bahati mbaya ana kipili pili.!
Namkubali sana! Haswaaaaa yeye na Fortuna Suleiman.Hahahaha Georgeeeeeeee Maratooo huyo jamaa ananiacha hoi balaa
Kuna yule Anastazia Mairi...dah hakuna kama yeye aseee.Namkubali sana! Haswaaaaa yeye na Fortuna Suleiman.
Unaelekea wapi bwana cephalocaudo.Mkuu naomba lift kwenye gari yako.
halafu kuna mwingine anatangaza kama analia, KABENDERA jina lakeHahahaha Georgeeeeeeee Maratooo huyo jamaa ananiacha hoi balaa
Anaripoti kinoko noko eehhalafu kuna mwingine anatangaza kama analia, KABENDERA jina lake