Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
RIPTaarifa inayosambaa mitandaoni inaeleza kwamba, Mtangazaji wa TBC, Sued Mwinyi amefikwa na Umauti leo, kwenye Hospitali ya Mloganzila ambako alilazwa kutokana na maradhi yaliyokuwa yanamsumbua.
Apumzike kwa Amani
View attachment 2988858
Poleni sana wafiwa na wote. RIPTaarifa inayosambaa mitandaoni inaeleza kwamba, Mtangazaji wa TBC, Sued Mwinyi amefikwa na Umauti leo, kwenye Hospitali ya Mloganzila ambako alilazwa kutokana na maradhi yaliyokuwa yanamsumbua.
Apumzike kwa Amani
View attachment 2988858
Kama Magufuli ndiye alikufanya usiisikilize TBC, sasa ni mwaka wa tatu tangu Magufuli adondoke. Mbona hujaipa nafasi TBC chini ya utawala wa mama mfungua nchi?Poleni sana wafiwa na wote. RIP
Sijawahi kumsikia maana nina some years tangu niisikilize TBC....tangu Magufuli aingie madarakani sijawahi kuifungua TBC