TANZIA Mtangazaji Swedy Mwinyi wa TBC afariki Dunia

TANZIA Mtangazaji Swedy Mwinyi wa TBC afariki Dunia

Taarifa inayosambaa mitandaoni inaeleza kwamba, Mtangazaji wa TBC, Sued Mwinyi amefikwa na Umauti leo, kwenye Hospitali ya Mloganzila ambako alilazwa kutokana na maradhi yaliyokuwa yanamsumbua.

Apumzike kwa Amani

View attachment 2988858

Allah ampe kauli thabiti na amuepushie adhabu za kabri, ardhi inameza sana ndugu ndugu zanguni, tukumbuke maisha ya duniani ni mafupi ya kaburini ni marefu mno tuache vibri tutendeane wema kama akiba ya kesho tuendako!
 
Leo ndo nimejua jina lake la mwanzo lilikuwa Ramadhan. Sikuwahi kusikia anaitwa hivi.

Alale pema peponi.
 
Taarifa inayosambaa mitandaoni inaeleza kwamba, Mtangazaji wa TBC, Sued Mwinyi amefikwa na Umauti leo, kwenye Hospitali ya Mloganzila ambako alilazwa kutokana na maradhi yaliyokuwa yanamsumbua.

Apumzike kwa Amani

View attachment 2988858
Allah ampe kauli thabiti na amuepushie adhabu za kabri,ardhi inameza sana ndugu ndugu zanguni, tukumbuke maisha ya duniani ni mafupi ya kaburini ni marefu mno tuache vibri tutendeane wema kama akiba ya kesho tuendako!
 
Ahmed Jongo
Ezekiel Malongo
Halima Mchuka
Sued Mwinyi

Mlifanya matangazo ya mpira na kioinfi cha michezo RTD kuwa moto sana!!
Nazeeka sasa

Pumzikeni kwa amani Ma-Legend
Pana Mtangazaji mmoja alikuwa anatangaza Mwanza nae alifariki Mbeya simbubuki jina alikuwa anaweza kutangaza kikosi cha Tipso wa lindanda akiwa anawaona wanatroti tu wenyewe walikua wanasema naona Wachezaji wanapasha misuri joto pale au wanapiga njalamba pale...
 
Back
Top Bottom