TANZIA Mtangazaji Violet Mzindakaya amefariki

Alikuwa anagombania nafasi gani humo CCM? R.I.P Mwana CCM.
 
rafiki yangu wa fb huyu mdada, kuna muda alikuwa south africa. Alazwe pema
 
Mnaonielewaga huwa ni wachache sana humu na huwa pia mna IQ's kubwa mno. Mkuu usifanye mzaha na Gitaa la Dally Kimoko ni hatari sana hasa ukilisikia masikioni na ukiwa unaserebuka nalo vile vile.


hahahahahaha dally kimoko weee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…