Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yesni dada yake Paul Mzindakaya na davie?
![]()
inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na kwake Yeye hakika tutarejea.
Hapana sio huyoNDO HUYU?![]()
WA MKUU KUNA RAIA MWEMA ALISHANIJIBUHapana sio huyo
hahahahhaha mie nimekuelewa mkuu !hahahaha again teh teh
Mnaonielewaga huwa ni wachache sana humu na huwa pia mna IQ's kubwa mno. Mkuu usifanye mzaha na Gitaa la Dally Kimoko ni hatari sana hasa ukilisikia masikioni na ukiwa unaserebuka nalo vile vile.
Sawa hakuna shida maisha yanaendelea,R.I.PTaarifa ndio hiyo, Sister V aliyekuwa mtangazaji wa Radio Uhuru, mtoto wa Kiongizi Mkongwe hapa nchini Chrisant Majiyatanga Mzindakaya, amefariki. Tulikuwa nae Taifa juzi kwenye mechi ya Yanga na Simba na leo, ndugu yake Ben Mwanantala, amethibitisha kifo cake.
View attachment 621181