GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
hahahahahaha dally kimoko weee
Gitaa la Dally Kimoko likikubali lazima tu utaamka kitini ucheze Mkuu. Halafu sijui ni kwanini Gitaa la Dally Kimoko huwa linapenda sana ' Kushtukiza ' hasa katika upigaji wake na ule mlio. Dada umeshawahi kulisikia lakini Gitaa hilo? Tafuta Wimbo wa ' Inde Monie ' wa Kanda Bongoman au ile Album ya Aurlus Mabele ya ' Stop Alertez ' utalisikia hilo Gitaa la Dally Kimoko jinsi linavyounguruma.