McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu
Nilikuwa naangalia interview ya Kabudi pale Aljazeera ambayo alikuwa na Dorothy Semu
Yaaani kabla hata interview ya haijaanza, huyu mtangazaji wa Al Jazeera anatoa disclaimer kwamba Tanzania kuna shida ya Internet, mtandao hauko sawa kwa hiyo wanaweza wasimsikie Dorothy Semu.
Yaani Bongo hata suala la internet tu siku hizi limekuwa anasa? Hiyo sentensi ya huyo mtangazaji mnaweza mkaiona ni ndogo lakini tujikumbushe tu kuwa hicho kipindi wanaangalia investors wa kimataifa, watalii n.k