😅😅Bongo tupo vzr kwenye upumbavu wa simba na Yanga, uchawa, na udini unazidi kufikia patamu.
Ya Semu ndio haipo nzuri Kwa sababu CCM haiajamlipiaWakuu
Nilikuwa naangalia interview ya Kabudi pale Aljazeera ambayo alikuwa na Dorothy Semu
Yaaani kabla hata interview ya haijaanza, huyu mtangazaji wa Al Jazeera anatoa disclaimer kwamba Tanzania kuna shida ya Internet, mtandao hauko sawa kwa hiyo wanaweza wasimsikie Dorothy Semu.
Yaani Bongo hata suala la internet tu siku hizi limekuwa anasa? Hiyo sentensi ya huyo mtangazaji mnaweza mkaiona ni ndogo lakini tujikumbushe tu kuwa hicho kipindi wanaangalia investors wa kimataifa, watalii n.k
Eti notification ya maandamano to the nearby Police officer hahaha badala ya kusema nearby Police station. Mugambo wanaruka na kukanyagana. Ndio maprofesa wetuProf. Kabudi keo kapayikana, ka- panic sana kukutana na media huru ya kimataifa leo ya Doha, Qatar.
View: https://m.youtube.com/watch?v=5y4rd7_adv4 Intaneti kwa Dorothy Semu kiongozi wa ACT Wazalendo, mamlaka za TCRA walijaribu block lakini ameweza kuongea kwa utulivu kuliko Prof. Palamagamba Kabudi kucheua vifungu gandamizi vya sheria mbovu kutetea udhalimu na mauaji. Kabudi kakutana na mtangazaji wa Al Jazeera anayejua kiSwahili pale Prof. Kabudi alipojaribu kupindisha tamko kuwa kuna jaribio la kuangusha nchi lilotolewa na serikali haramu ya CCM kuwa maandamano yanataka kumpindua serikali
TOKA MAKTABA :
Uteuzi wa Profesa Palamagamba Kabudi, ni hatua nzito ya serikali kujipanga kushinda vita ya habari yaani propaganda.
Vyombo kama TBC, TBC radio, Habari Leo Daily News, Idara ya Maelezo vimekuwa vikisinzia kuitetea serikali ya awamu ya 6 kiasi ya kuwa vyombo vya mitandao ya kijamii vimeibuka washindi katika kuunda sura (ku shape ) ya yanayoendelea nchi huku vyombo vya umma vikikosa wasikilizaji, wasomaji na wachangiaji (comments) iwe katika lugha ya KiSwahili au Kiingereza
Hivyo hatua ya uteuzi wa leo ni kujaribu kurudisha mizania kuegemea upande wa serikali na chama...
- Bagamoyo
- prof. kabudi propaganda serikali vyombo vya habari
- Replies: 43
- Forum: Jukwaa la Siasa