Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mtangazaji na mtayarishaji wa vipindi wa Azam TV, Timothy Chelula, amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea wa ubunge wa Jimbo la Kongwa, mkoani Dodoma, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Chelula, ambaye ni mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Kongwa kupitia Kata ya Mlali, na pia mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Dodoma kupitia Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Kongwa, amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Kongwa, Joyce Mkaugala.