Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu naye sometimes kama ana mavhicha ya nazi kichwani...!
Si unaona ana likes zaidi ya 500. So anawatu wake...Huyu naye sometimes kama ana mavhicha ya nazi kichwani...!
Si unaona ana likes zaidi ya 500. So anawatu wake...
Clouds Media hawajali huu upuuzi wa hawa vijana wao.
huyu jamaa akili zake zimeegemea upande wa kushoto.
Lakini je! Hiyo Picha ya bangi pembeni, ni kweli hiyo bangi ipo hapo alipo yeye!?
Picha ya bangi inajitegemea wala haihusiki, mleta uzi ndio ameiunganishia..........Ila we changia/comment chochote tu.....hivyohivyo......kama nilivyochangia mimi..........Lakini je! Hiyo Picha ya bangi pembeni, ni kweli hiyo bangi ipo hapo alipo yeye!?