Hata mimi nimeshituka kwa huyu mwanamke,kipindi cha nyuma alishaga ramba pesa ya mtu,hadi Ruge akailipa!! Sijui ilikuaje but kuna ka mzozo kalitokea pale mjengoni!!!Hii pia inaweza kuwa aina nyingine ya utapeli..
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nimeshituka kwa huyu mwanamke,kipindi cha nyuma alishaga ramba pesa ya mtu,hadi Ruge akailipa!! Sijui ilikuaje but kuna ka mzozo kalitokea pale mjengoni!!!Hii pia inaweza kuwa aina nyingine ya utapeli..
Hivi yale mahari ya milioni 500 alishatolewa?mtoto mzuri hivo anakosa dola 7000? hao anaopita nao wanampaga kiasi gani?au wanamkopa
Dharau zake ndo zimemfikisha hapo alipo. Anazeeka saivi, ujana alikuwa anaringa sana anadhani ni mzuriiii na akajua waoaji wanahitaji uzuri. Akomae saiviHuyu si ndio alimpata mchumba wa mahari ya milioni 500? Vitu vingine huwa tunajiharibia wenyewe... Alijipa thamani kubwa kupitiliza akamsahau Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah unajua kiburi cha uzima... Ila Matatizo yakikupata ndo rangi zako tunazionaHuyu si ndio alimpata mchumba wa mahari ya milioni 500? Vitu vingine huwa tunajiharibia wenyewe... Alijipa thamani kubwa kupitiliza akamsahau Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani acha tu!! Mungu amfanyie wepesi.Life isn't fair. Kuna watu wanazitoa kila siku hizo mimba wengine wanazihangaika kama hivyo maskini.
Mungu wetu ni mwaminifu atampa wakati wake ukifika.
Pole kwake Diva
Sent using Jamii Forums mobile app
You never, ukute alishatoaga kibao hadi mirija zikaota fibrosis.Life isn't fair. Kuna watu wanazitoa kila siku hizo mimba wengine wanazihangaika kama hivyo maskini.
Mungu wetu ni mwaminifu atampa wakati wake ukifika.
Pole kwake Diva
Sent using Jamii Forums mobile app