Mtangazaji wa Clouds, Diva the Bawse afunguka ya moyoni kuwa hawezi kuzaa kisa matatizo kwenye uzazi

Huyu Mdada ni Mjinga na anawakilisha wajinga wenzake...alikuwa anataka mahari ya million mia tano na kashifa juu kuwa hawezi kuolewa na mwanaume asiyejua lugha ya malkia ( Tanzanian celebrities must be taught on how to behave like public icon...they need to be taught also on how to solve their problems because now days I see when they get into trouble they ask for public simpath)
Waache ujinga!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu si ndio alimpata mchumba wa mahari ya milioni 500? Vitu vingine huwa tunajiharibia wenyewe... Alijipa thamani kubwa kupitiliza akamsahau Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Dharau zake ndo zimemfikisha hapo alipo. Anazeeka saivi, ujana alikuwa anaringa sana anadhani ni mzuriiii na akajua waoaji wanahitaji uzuri. Akomae saivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu si ndio alimpata mchumba wa mahari ya milioni 500? Vitu vingine huwa tunajiharibia wenyewe... Alijipa thamani kubwa kupitiliza akamsahau Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah unajua kiburi cha uzima... Ila Matatizo yakikupata ndo rangi zako tunaziona

Ila alishawahi pia kujinadi ana ghorofa anamalizia so "DONT TAKE IT SO SERIOUS" Sometimes hii pia inawexa ikawa njia ya kujipatia kipato bila aibu akijinadi hana huwezo wa kuzaa then mnajichanga kumbe ana kijusi tayari mwisho wa siku tumbo linakuwa na anawashukuru kumbe hata hakwenda kufanyiwa IVF..

Mjini mipango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…