Mtangazaji wa Clouds, Diva the Bawse afunguka ya moyoni kuwa hawezi kuzaa kisa matatizo kwenye uzazi

Huyu si ndio alimpata mchumba wa mahari ya milioni 500? Vitu vingine huwa tunajiharibia wenyewe... Alijipa thamani kubwa kupitiliza akamsahau Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
si huyu ndo aliwahi kusema bila milioni ngapi vile aolewi Duuuuuh ya Mungu mengi...Mungu amsaidie sana
Hapo ndio wananifurahishaga masista du wa bongo ,mbwembwe nyingi kumbe hana kitu ,

Uzuri watanzania wakarimu,watamchangia km wanavyowachangia mastaa wengine wa bongo movie



Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu
hajapata mpini huyu aseme bebi nipe mimbaaa
 
Huyu si ndio alimpata mchumba wa mahari ya milioni 500? Vitu vingine huwa tunajiharibia wenyewe... Alijipa thamani kubwa kupitiliza akamsahau Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hivyo, waache kufanya maisha ni sehemu ya scene kwenye maigizo yao. Tena anamtaja Mungu kwaajili ya kutafuta MTOTO kama mnyama(sperm donor), kweli???

Gari aliyoshindwa kuendesha ina thamani gani? Kwanini asituambie NIMEUZA KILA KITU katika harakati za kutafuta mtoto kama kweli ni hitaji lake la moyo? Katika hiyo $7000, yeye ana ngapi?

Wanatafuta mitaji ya kubadilisha maumbile ile waendeleze biashara zao.
 
Kabisaaaaa ,,Sifa nyingiiii kumbe hamna lolote ,,maisha anayosemaga anaishi yako juu sana ukilinganisha na anaowaomba msaada,,
 
Point point
 
Huyu alishasemaga hana mpango wa kuzaa miaka kadhaa iliyopita. Na yupo scared kuwashika watoto wachanga.
Mademu huwa mnaringa sana mkiwa na miaka 18-26, mkishajongea miaka 30s mbwembwe zote huwaisha.

kwanza anataka kupata mtoto kwani ameolewa?
 
maisha ya insta na misaada wanayo taka uwa naona wanatuigizia sana.kesho usije sikia dimond au kiba anaomba msaada wa matibabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtoto mzuri hivo anakosa dola 7000? hao anaopita nao wanampaga kiasi gani?au wanamkopa
Dharau nyingi, mara atakayenioa lazma awe na 500m, mara siwezi tembea na mwanaume asiyejua kiingereza, mara mume wangu napenda awe handsome, na sasa ivi anatamani apate hata mtoto anayefanana na nyani, karma is a beautful bitch.
 
Wanapenda kuonewa huruma utasema sisi hatuna matatizo yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dharau nyingi, mara atakayenioa lazma awe na 500m, mara siwezi tembea na mwanaume asiyejua kiingereza, mara mume wangu napenda awe handsome, na sasa ivi anatamani apande hata mtoto anayefanana na nyani, karma is a beautful bitch.
Ajabu yy hana hy hela hata nusu hana,account bank hana akiba

Hahaha ,masista du bana


Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtoto mzuri hivo anakosa dola 7000? hao anaopita nao wanampaga kiasi gani?au wanamkopa
Swali langu kama lako. Muda wote anajishaua mitandaoni kwamba mtoto wa tajiri na ana mshiko wake mwenyewe! Anashindwaje kuwan na milioni 15 (dola 7000?)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…