Ni sawa na bei gani kibongobongo?mtoto mzuri hivo anakosa dola 7000? hao anaopita nao wanampaga kiasi gani?au wanamkopa
Kama alishatoaga maumivu yanakuaga mara mbili akiwaza alivyochezea kizazi chake.You never, ukute alishatoaga kibao hadi mirija zikaota fibrosis.
Hahaha, Sista Du hana $ 3000 ktk accountHivi na wote wale ambao wameshindwa kupata mtoto kwa njia ya kawaida tena ambao wengine wako kwenye ndoa na wao wajitokeze kama yeye??..naamini wako wengi
Mtu una gari,unafanya kazi clouds media,una ndugu anatumia simu ya $1000,na bado unataka usaidiwe 15m??,,how comes??
Misaada wapewe watu wenye shida na hawana ndugu,kazi au jamaa ambao wanaweza kuwasaidia..
Kwanza ameshadhihaki sana wanaume huyu mwanamke,mara atukane tunanuka boxer,mara hadate na asiyekuwa na pesa,mara baby wake ni cooparate anafanya kazi mjini kati posta,,amfwate sasa amsaidie hizo 15m
Sent using Jamii Forums mobile app
Well saidAuze gari yake then akapange uswahilini chumba kimoja aachane na kupanga nyumba nzima Masaki nadhani atapata hicho kiasi cha pesa, alaf hv clouds kweli wameshindwa kumkopesha wakamkata kwenye mshahara!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Rafiki weka akiba ya maneno!
Alisema kwa mwezi kodi analipa milioni 6Mmmmh anaishi masaki?...sasa kodi analipa kiasi gani kwa mwaka pale, afuu hana 14 milioni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo kiuhalisia hana ghorofa?
Kwani anataka kupandikizwa mimba au kuzibuliwa mirija?[emoji848]Anataka sperm donor ya kiamerika... Angeenda China 3000$ ingemaliza mchezo... Ila anataka America... You know she is very famous in this country
Sent using Jamii Forums mobile app