Amenishangaza sana huyu mwanamke...Alete ushahidi wa rufaa ya muhimbili kuwa hawaiwezi hiyo kazi. Pili huyu dada aliwahi kujitangaza kuwa ghorofa lake lipo hatua ya mwisho, Auze ghorofa ajenge nyumba ya kawaida kisha pesa nyingine akafanyie matibabu.
Wapo watu wana shida zaidi yake siwezi poteza pesa yangu kuchangia mtu anayejiweza. By the way anatafuta vipi mimba bila mume maana kwenye andiko lake anazungumzia masuala ya sperm donor! Hiki ni kichekesho, unawezaje kumtafuta spermdonor wakati huna mume? Tutaamini vipi kama ana tatizo la uzazi wakati hana mume!! Logically spermdonor anapaswa kuwa mume na si vinginevyo!!! Stori yake imekaa kitapeli tapeli sana.
Mtu uliyejitapa huolewi bila M.500 leo unakosa hata 15M!!. Wasanii/watu maarufu waache tabia ya kuishi maisha ambayo sio yao halafu mwisho wa siku wanaishia kugeuka maombaomba tu. Wajifunze kuwa kabla ya kuomba angalia rasimilimali zako ziuze, kisha watafute ndugu zako wachangishe baada ya hapo nenda kwa jamaa zako wa karibu ukishindwa ndio uanze kutembeza bakuli publicly
Sent using Jamii Forums mobile app
Kujikweza kunagharimu sana.Leo no comments.ila tafakari maneno yake mwenyeweView attachment 842086View attachment 842088
Sent using Jamii Forums mobile app
haki waache ujingaHuyu Mdada ni Mjinga na anawakilisha wajinga wenzake...alikuwa anataka mahari ya million mia tano na kashifa juu kuwa hawezi kuolewa na mwanaume asiyejua lugha ya malkia ( Tanzanian celebrities must be taught on how to behave like public icon...they need to be taught also on how to solve their problems because now days I see when they get into trouble they ask for public simpath)
Waache ujinga!
Sent using Jamii Forums mobile app
shem hapo kwenye last line ungeisema in haya voiceAnataka sperm donor ya kiamerika... Angeenda China 3000$ ingemaliza mchezo... Ila anataka America... You know she is very famous in this country
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu siyo yule Mkubwa?Huyu Demu baba ake si ndio yule anaeshtakiwa kwa kupga mabilioni ya pesa TFF??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, nimekuelewa hapaKama baba mtarajiwa wa huyo mtoto hawezi kuafford hiyo dola 7000 bora aache kutafuta mtoto atafute pesa kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu dola 7000 ni kama shingapi ya kibongo, nione kama naweza kumsaidia😀mtoto mzuri hivo anakosa dola 7000? hao anaopita nao wanampaga kiasi gani?au wanamkopa
kama milion kumi na sita despite alisema mchumba wake anatakaa kutoa mahari milion 500,sasa wewe sijui utatoa ngapiMkuu dola 7000 ni kama shingapi ya kibongo, nione kama naweza kumsaidia😀
😂😂 dah!kama milion kumi na sita despite alisema mchumba wake anatakaa kutoa mahari milion 500,sasa wewe sijui utatoa ngapi