Mtangazaji wa Clouds, Diva the Bawse afunguka ya moyoni kuwa hawezi kuzaa kisa matatizo kwenye uzazi

Mtangazaji wa Clouds, Diva the Bawse afunguka ya moyoni kuwa hawezi kuzaa kisa matatizo kwenye uzazi

Leo no comments.ila tafakari maneno yake mwenyewe
IMG_20180820_101351_734.jpg
IMG_20180820_101412_728.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alete ushahidi wa rufaa ya muhimbili kuwa hawaiwezi hiyo kazi. Pili huyu dada aliwahi kujitangaza kuwa ghorofa lake lipo hatua ya mwisho, Auze ghorofa ajenge nyumba ya kawaida kisha pesa nyingine akafanyie matibabu.

Wapo watu wana shida zaidi yake siwezi poteza pesa yangu kuchangia mtu anayejiweza. By the way anatafuta vipi mimba bila mume maana kwenye andiko lake anazungumzia masuala ya sperm donor! Hiki ni kichekesho, unawezaje kumtafuta spermdonor wakati huna mume? Tutaamini vipi kama ana tatizo la uzazi wakati hana mume!! Logically spermdonor anapaswa kuwa mume na si vinginevyo!!! Stori yake imekaa kitapeli tapeli sana.

Mtu uliyejitapa huolewi bila M.500 leo unakosa hata 15M!!. Wasanii/watu maarufu waache tabia ya kuishi maisha ambayo sio yao halafu mwisho wa siku wanaishia kugeuka maombaomba tu. Wajifunze kuwa kabla ya kuomba angalia rasimilimali zako ziuze, kisha watafute ndugu zako wachangishe baada ya hapo nenda kwa jamaa zako wa karibu ukishindwa ndio uanze kutembeza bakuli publicly

Sent using Jamii Forums mobile app
Amenishangaza sana huyu mwanamke...
 
Huyu Mdada ni Mjinga na anawakilisha wajinga wenzake...alikuwa anataka mahari ya million mia tano na kashifa juu kuwa hawezi kuolewa na mwanaume asiyejua lugha ya malkia ( Tanzanian celebrities must be taught on how to behave like public icon...they need to be taught also on how to solve their problems because now days I see when they get into trouble they ask for public simpath)
Waache ujinga!

Sent using Jamii Forums mobile app
haki waache ujinga
 
Wasanii ni wasanii wa kila kitu hadi maisha, Yaani Mdada aina ya Diva anakosa milioni 14 za Kitanzania kutoka kwa watu wake wa karibu hadi aiweke wazi kiasi hicho. Hivi anajua kuwa kuna watu wana mazito kulio hilo, kuna watu wanauguza miaka 10 sasa. Halafu..................nikaamua kuwatafuta madaktari wa nje ya nchi kujua nafanyaje, with the amount of money sababu kuna kuishi huko , kula, kwa siku kadhaa pamoja na kupata sperm donor hivyo hio amount inaweza kutosha. Guys ntaweka link hapo from gofundme , ili kama unaweza uchangie sababu mimi hizo hela sina siwezi danganya, thats alot of money...............Sawa, pesa kweli anaweza kukosa, sasa anaweze kukosa sperm hadi ahitaji kuchangiwa (Sperm Dona) yaani watu wachangie hadi pesa za kununua mbegu ya mtoto ilhali Watanzania wengi tu wanazo !!! Ina maana hana Mpenzi/Mchumba !!! Hebu kuhusu mbegu za mtoto (sperm) mpeni bure bila kumlipisha jamani.
 
Yaani unahitaji kuwekewa sperm za mtu halafu mimi nikuchangie ili upate mimba kweli????

Then baadae tuanze kuleteana dharau hapa ...

bongo celebrities wanasahau walipotoka baada ya kupiga hatua fulani katika maisha yao....

Ila kiukweli siwezi kuchanga kwa ajili ya shida kama hii ambayo haihatarishi uhai wa mtu ingekuwa ni ugonjwa kama vile anavyoteseka Wastara mtu unajitoa kusaidia ili uokoe uhai na kumpunguzia maumivu ya mwili.
 
Back
Top Bottom