Mtangazaji wa Clouds, Diva the Bawse afunguka ya moyoni kuwa hawezi kuzaa kisa matatizo kwenye uzazi

Huyu kuna kipindi alikuwa anajitapa anapesa nyingi na anajenga bla bla blaaa kibao! Sasa hyo 7,000 dollars ni pesa kidogo sana. Km ananisoma hapa anitafute tiba ipo na atapata mtoto only if yuko na mumewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sn kwake..Mungu atamsaidie apate mtoto
 
Namshauri Diva atengeneze kadi kama zile za kuomba michango ya harusi alafu asambaze kwa wadau mbalimbali.
 
Huyu demu mpuuzi si alikua anatamba yeye mrembo hawezi olewa bila mahari ya milioni 500 mara hataki bwana maskini asiyejua English ,sasa nani atamuoa tasa kama yeye
 
Sasa me nauliza je huyu bint alisema hawezi kuwa na mpenzi ambaye hajui Kiinglish sasa sisi wengine Viben10 tusiefikia level zake buku letu litaleta thaman baadae?

Je? Tunafaa kumchangia?[emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IVF sio kuzibua mirija ww...
IVF kirefu chake n "in vitro fertilization" ..yaani yai la kike lnarutubishwa nje ya mwili na kisha kupandikizwa kwenye mji wa mimba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtoto mzuri hivo anakosa dola 7000? hao anaopita nao wanampaga kiasi gani?au wanamkopa
Si aliwahi kusema kuwa anayetaka kumposa awe na ml 500, na awe anajua kiingereza, sometime tuwe tunaweka akiba ya maneno coz Mungu ni fundi sana na ni muweza wa yote, anyway pole yake na Mungu amtie nguvu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…