Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Pole zake. Dully Sykes anajinasibu kuwa Bombadear yake inapenya pote pote huenda pia inapenya kwenye mirija iliyoziba na kuizibua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hizi hela ukimpahata maskini lazima Sir GOD akubariki kisengeNaweka record sawa..alisema mahari million 500
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Dah masihara hayo.Pole zake. Dully Sykes anajinasibu kuwa Bombadear yake inapenya pote pote huenda pia inapenya kwenye mirija iliyoziba na kuizibua.
Nadhani wanaishia kumlamba kiAntena tu!mtoto mzuri hivo anakosa dola 7000? hao anaopita nao wanampaga kiasi gani?au wanamkopa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Umenishinda tabia!Nazan akipitia koment hizi za wadau mirija itafunguka yenyewe..
ukweli mchungu huuWanasema maumivu huwa ni makali zaidi endapo mhusika anakumbukumbu aliwahi kufanya abortion
Tafadhali msaidie mwanamke mwenzio.Huu utapeli,anataka pesa kwa matumizi yake.Wajinga ndo waliwao
Nzuri sana hii ngoja niicopyMungu ni mkweli sana mpaka inaogopesha.
Mnapojinadi kwa uzuri, elimu, vipande vya fedha na mengineyo msisahau kuwa yupo aliyetoa, ndio maana kuna watu hawana hivyo mlivyonavyo ila wana amani kwani wana kile msichokuwa nacho......watoto, respect na amani.
Maisha yetu yamejaa mitihani na bahati mbaya sana hayupo binadamu wa kuihimili kirahisi hasa pale ulipokuwa umejiweka kwenye kundi la wale wanaomini ni bora kuliko wengine na shida kwao ni msamiati mpya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu vijeuri kweliShida ya hivi vishanKUPE vya kileo vinadhani wanaume wote hawajui Value of Money akimvulia pichu kibenten akimsifia tayari anajiona anaweza kuwa Mahali ya 500ml jinga kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app